Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwisho wa kuwasilisha ujumbe wa Leo ,Isaya 4 :1,mjumbe hauwawi hate the game ,dont hate the player!!
0 Reactions
13 Replies
4K Views
I feel so lonely, I need someone who can engage in serious relationship.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JF, Natumaini mnaendelea vizuri na maisha yenu ya kila siku.Nimekuwa msomaji mzuri sana wa posts za watu humu ndani kwa muda mrefu sana na nisiposema nimefaidika nitakuwa muongo,nikaona na...
6 Reactions
115 Replies
16K Views
Wandugu wapendwa nilikuwa siamini kama mtu anaweza kupata mke JF, lakin Jana nimeamini baada ya rafki yangu kufunga ndoa na mdada waliokutana jukwaa hili la JF. Hii imenipa hamasa sana maana...
0 Reactions
64 Replies
7K Views
Habarini Wakuu, Kuna tatizo kubwa sana kwenye jamii zetu sikuhizi la wazazi au wazee kushindwa kuwakemea watoto zao kisa tu wana pesa. Mfano mtoto anaweza akaolewa ila akaamua kuachana na...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Wandugu, Nishaurini mwanajamvi mwenzenu; Nimejishikiza kwa shemeji yenu kwa muda huu ambao bado nasubiri mishe zitiki, ni kwake na yeye ndo analipa rent ingawa majirani zake ni waswahili sana...
1 Reactions
69 Replies
7K Views
Mpo? Kuna hoja iliyotolewa juzi katika semina na hadi sasa sijapata jibu. Wakuu ipi njia bora kati ya kugegeda taratibu, kwa maelewano kiasi kwamba mkeo akikwambia tosha, unatoka hata kama bado...
0 Reactions
108 Replies
27K Views
Kama Labda Una Mpenzi Wako Awe Wa Kiume au Wa Kike Halafu Ananuka Either MDOMO Or KIKWAPA Tena Kwa Kutoa Ile Harufu Kali Na ILIYOTUKUKA Ipi Labda Ni Njia Sahihi Ya Kumwambia Na Ya Kidiplomasia...
0 Reactions
55 Replies
7K Views
natafuta binti nzuri Wa kutoka nae mida ya badae kwenda club escape one kumwona Roberto Wa amarula ani pm fast a,nimwandalie ela ya tiketi kwa walio dar
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani kuna kazi mtu ukiingia ni lazima uwe mhuni au ni tabia za watu. Huyu demu wangu kila siku anaingia kitaa sa tatu usiku then analetwa na lifti ya workmate wake tena wa kiume sasa...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Wakuu, Naongea na wanaume wale ambao mpo kwenye ndoa.Je ni baada ya kipindi/ muda gani unaweza kupiga simu ukweni aidha kuongea na baba mkwe au mama mkwe kwa lengo la kuwasalimia/ kuwajulia hali...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
MADHARA YA KIAFYA YATOKANAYO NA KUVAA CHUPI Mpendwa bila shaka umeamka salama. Sina shaka kwamba jana ulishiriki zoezi la kufanya usafi kama serikali ya Magufuli livyoagiza. Hongera. Leo naomba...
2 Reactions
57 Replies
28K Views
jamani ili uweze kuoa bila ya kuwa na hofu ya kugegedewa wake inatakiwa uwe vipi maana ukiona mke wa huyu anakatwa na yule kwa staili hii c 2takwisha jamani demu huyu anakatwa na juma, ali na...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Katika miaka 70 iliyopita, Bw. Cao Yuehua alirudi nyumbani kwake kutoka uwanja wa vita dhidi ya wavamizi wa Japan ulioko magharibi mwa mkoa wa Yunnan nchini China na kaskazini mwa Myanmar...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajamvi, Katika dhana isemayo makubaliano ni muhimu kwenye tendo la"ndoa" nimegundua kwamba mwanamke huwa kama pasi huchelewa kupata joto na hutunza joto kwa muda zaidi hata baada ya kumaliza...
0 Reactions
40 Replies
15K Views
Habari? Mimi na mpenzi wangu ambaye nampenda sana na yeye ananipenda sana.Huyu mdada nimemkuta anatatizo la kuumia wakati wa sex hivyo ilichukua muda mrefu kunikubalia tusex na hapo mpk...
0 Reactions
35 Replies
8K Views
Hellow guys, Most women wanapenda waolewe, ili tu pindi atakapoingia kwenye ndoa amtegemee mwanaume almost kwa kila kitu, when it comes to money, huku yy mwanamke mwenyewe akiwa goalkeeper.. Hii...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Zipo nyingi lakini kuu kuliko zote ni kuchoka au uwezo wa utendaji kazi kupungua mara unapokua umeoa.Madhara yake ni kutokumpa dozi ya kutosha mwenye haki yake (mke).Uzoefu unaonesha kwa wale...
0 Reactions
56 Replies
9K Views
Sabalkheri wanajamvi wa MMU. Nimekuwa msomaji wa uzi mbalimbali katika jukwaa hili lakini ni mara chache sana nimekua nikitoa mada. Leo nina kisa kimoja ambacho ningeomba mnishauri...
0 Reactions
68 Replies
9K Views
Nimewahi kufanya kazi na makampuni ya kupeleka.madada dubai kwa kweli nimekuwa.na.mshtuko.na.leo natoka kumpokea.dada.mmoja nilimsaidia.kwenda aisee sijaamini alivyotuna nkamuliza.hivi huko...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Back
Top Bottom