Kwanini baadhi ya wanawake hupendelea kufanya mapenzi gizani?

Kwanini baadhi ya wanawake hupendelea kufanya mapenzi gizani?

Kitalolo.

Senior Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
189
Reaction score
221
Ipo hivi:

Nimekutana na wanawake wengi na linapokuja swala la mapenzi, wengi wao hupendelea kuwe na giza. Je, ni nini hasa siri ya hii kitu?
 
Hahahaha jibu limejitosheleza sana kalabaho mpaka tunashindwa kuchangia mada
 
Ufanye nao huko uondoke kimyakimya halafu uje utuulize sisi. Acheni kutusumbua bhana
 
Mambo ya kishetani hufanyika gizani ili yasijulikane na watu. Wote wafanyao mambo hayo ni machukizo kwa MUNGU; tubuni na kuacha uovu wenu mkarejee kwa MUNGU aliyewaumba.
 
Hao uliowapitia ndio wanapenda kutafunwa gizani ila mm wangu tunagegedana kwenye mwanga bila woga
 
Sijui labda hao unaokutana nae wewe. Ila wengi wao waliokuwa vizuri wanapenda mwanga ili uwaone vizuri walivyoumbika.
 
Nuru huambatana na matendo mema ya utukufu kwa Mungu na wanadamu, Giza huambatana na shetani ibilisi mkuu wa huu ulimwengu....sidhani kama mkeo anaweza kupenda kufanya gizani tu wakati jamii inatambua mmeoana....Siyo sifa kutafuna haramu gizani halafu unajinadi kwa keyboard
 
Back
Top Bottom