Naombeni mawazo yenu,
Ninamzazi mwenzangu tumezaa nae mtoto 1 mwanzo tulipanga kuoana ila mambo yakageuka ni story ndefu lakini kuna hili huwa tunaishi mikoa tofauti lakini ninamiezi 3 nipo...
Alikua mpenzi wangu akinipenda kwa dhati baada ya kupoteana kwa mda wa miaka 3 bila kuonana uso kwa uso alikua akinipgia simu tukiongea kama kawaida lakini siku moja aliwahi npigia simu na...
Nimekaa na baba yangu kwa miaka 19, lakini kumbe ni baba mlezi, hiyo imekuja baada ya baba ya halisi kujitokeza nikiwa form 'vi' nakunileza kila kitu kunihusu, ila tatizo mama hajaniambia chochote...
Habari Wana Jf mimi ni mama nina miaka 36 sasa niliolewa mwaka 2012 lkn baada ya miezi Mitatu mume wangu akifariki. Tokea hapo cna furaha endelevu nikicheka asbh jioni nitalia nikifurahi leo...
Habari zeni wanajamii forum?
Leo nimekumbuka tukio lililotokea miaka mitatu iliyopita. binafsi napenda kulielezea ili hata baadhi wajifunze kupitia kwangu wasije wakafanya makosa niliyofanya...
Habari wanajukwaa hili,
Love is all about feelings na watu wengi wamekua wakijifunza mengi kwa kusikiliza kazi za wasanii mbalimbali je wewe kijana wa JamiiForum umetafakari nini uliposikiliza...
Niko na mpangaji mwenzangu tangia tujuane yapata mwezi tena kwenye nyumba hiyo, ila cha kusikitisha anaishi na mwenzi wake kama vile hana mke ona hii mwanamke huyo mume wake anafagia nyumba yeye...
Jamaa yangu alikuwa anatembea na m/mke anayeishi na m/mme mwingine lakini hajamuoa bahati mbaya yule m/mke akapata ujauzito.
Baada ya kujifungua mtoto anafanana na jamaa yangu kila kitu na hata...
Za weekend wana MMU!
Sina mengi zaidi ya kutaka kujua hivi mtu akikutumia meseji au hata tu kukupigia kukuambia kuwa mimi nawewe basi fanya yako nifanye yangu au wewe uwe huru tu masuala ya...
Hii mbinu nilikuwa naiona wanaitumia sana wazee siku za nyuma, sijui ni vitu
gani walikuwa wanazingatia, Iliwahi kutokea mtoto wa binamu yangu wazee
wakamkataa kata kata kuwa si wetu baada ya...
Habari Zenu???
Nawakumbusha tu kwamba uhusiano na urafiki mwema na uhusiano mwema unaonyesha sura ya Mungu na unampendeza Mungu. msikae kihasarahasara halafu mkadhani kwamba ndivyo Mungu...
MREJESHO
Samahani sana wana JF kwa kuwa kimya bila kuwajuza kilichojiri nilibanwa kidogo na mambo ya chuo,simnajua tena mwaka wa mwisho(4th yr)!
Napenda niwashukuru wote kwa msaada wenu wa...
Yaweza kuwa makosa, furaha au jambo lolote.
Mimi kitu ambacho sitawahi sahau nlimtongoza msichana mwenye UKIMWI unajua nilizidiwa halafu nilikua maeneo ya usalama mimi nikamfata niikamwambia...
Wana JF,
Natumaini mnaendelea vizuri na maisha yenu ya kila siku.Nimekuwa msomaji mzuri sana wa posts za watu humu ndani kwa muda mrefu sana na nisiposema nimefaidika nitakuwa muongo,nikaona na...
Wandugu wapendwa nilikuwa siamini kama mtu anaweza kupata mke JF, lakin Jana nimeamini baada ya rafki yangu kufunga ndoa na mdada waliokutana jukwaa hili la JF.
Hii imenipa hamasa sana maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.