Naota sana nikifanya mapenzi na mpenzi wangu wa zamani

Mr mgeni

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
1,222
803
Habari zenu wana JF,

Yapata mwaka mmoja tangu kuachana na aliyekuwa mpenzi wangu.Tulipendana sana na tuliishi maisha ya furaha mda wote hatukuwai kukwaruzana na hii ni kutokana na kila mmoja wetu kumsoma mwenzie (hapendi nini/anapenda nini).

Mwishoni mwa mwezi December 2014, Nilisafiri kibiashara mbali kidogo.Tukawa tunawasiliana vizuri kadiri siku zilivyozidi kwenda mawasiliano nayo yakawa yanadorora hii nikutokana na mimi mwenyewe kuwa busy sana na kazi hivyo kutokuwa online.

Ninachokikumbuka kuna siku nilimpigia simu akapokea mwanaume,!!kwa kweli alinitukana mno maneno machafu ya kutosha mimi nilikosa lakumwambia huku sim ikiwa on nilisikia sauti ya mpenzi wangu na huyo mwanaume wakilumbana.Nilikata simu baada ya dakika kama mbili alinipigia kuniomba radhi kwa yaliyotokea huku akilia kwa unafiki.

Nilichomwabia, tusijuane na kumuamuru abebe anachokita hapo nyumbani aondoke nacho,s tori ni ndefu sana,.Tatizo ananitokea ndotoni Mara kwa Mara nikifanya nae mapenzi. Na huwa ananitumia text nyingi sana lakini simjibu.
 
uwe unapiga magoti na kusali kabla ya kulala na ikitokea umeota inuka usali na kumwomba Mungu akuepushe na pepo hilo...yataisha
 
hizo text nazo anakutumia ndotoni?,,kama unaota unafanya nae mapenzi ndotoni utakuwa una jini mahaba ambalo kawaida yake huchkua picha ya mtu yoyote yule kufanya mapenzi na wewe la sivyo ni stress zako tu zimefanya umkumbuke enzi zenu mnafanya yenu
 
Tafta mpenzi mwingine hutomuota huyo tena. Afu sali sana hasa wakati wa usiku kamwe huwezi kuota mambo kama hayo ukikataa kusali mtakuchapa viboko
 
Hizo ndoto ni majini. Sali sana cz utashindwa kaa hata mwenza cz hayo majin yanakua yanakufunga. Ukisal hutoota hata kidogo. Tena hata ukiwa ndoton Mungu atakupigania tu na hayatakukaribia. Maana huwa yanafunga nafs ya mtu. Yesu wangu akuponye ktk Jina La Yesu. Na Damu ya Yesu ikulinde popote ulalapo. Amen
 
We kugongewa mara moja tu unafura hivyo...Watu tunalea watt wa watu kwenye ndoa na still tuko happy..Embu muombe msamaha demu wako
 
huyo ni jini mahaba anaejivika sura yake,piga goti usali sana na Yesu ndie nuru ya giza atakumulikia na hizo ndoto hutoota tena!!a
 
Pole, inawezekana ujapata pachuchi siku nyingi. Fanya mpango wa kutafuta pachuchi nyingine uone kama utaota tena. Tunasubiri mrejesho mkuu
 
Back
Top Bottom