Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

TATIZO LA KUKAA NA KINYONGO Mjadala huu Ni kwamba unakosa nafasi ya kufuatilia mambo mengine muhimu kwako.Unaweza kujiaminisha kwamba kinyongo ulichomwekea mtu unastahili kabisa. Alininyanyasa...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Nawasalimia wote kwa pamoja wana JF. Mda mrefu tumekuwa na shughuli za uchaguzi, sasa uchaguzi umeisha kwa asilimia kubwa. Ni mwendelezo wa mada zangu zinazohusu elimu ya kiroho.Kwa utangulizi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajamiiforum salam... Naomba mniambie kama inawezekana kupenda tena baada ya kuumizwa na mpenzi wako wa siku nyingi. Mpenzi mliepitia nae raha na shida kwa miaka mitano. Kuna watu wanasema...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Habari wanajamvi, Nilikua na mahusiano na mdada mmoja kabila lake muha, nilikaa nae kwa kipindi kirefu sana katika uhusiano wetu.Tulikubaliana kuzaa, na kweli iliwezekana, nikampa uja uzito...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Bwana Yesu Asifiwe! Watu engi hawana tabia ya kufanya mambo kwa bajeti na kujikuta matumizi yanakuwa hayana control. sasa ebu kila mtu aliye kwenye mahsiano ya Bf na Gf, jaribu kutupa tathmini...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Hivi nyie ambao mko na wenzi wenu katika maisha, wakati mnatafutana baada ya wiki mbili tu mliorodheshewa matatizo ya kodi, mama mgonjwa, nguo ya sikukuu na mengineyo. Nauliza hivi natamani kujua...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuna tabia ya wanawake walio kwenye ndoa kuchukua baadhi ya maamuzi bila kuwashirikisha waume zao baadhi ya maamuzi haya ni kama kuita fundi kuja kutengeneza vitu nyumbani kama friji, tv, nk...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Nina mpenzi wangu, raia wa Nigeria, Sasa huyu msichana tulikutana chuoni pale mlimani, na tumedumu kwenye mahusiano, hadi Sasa tumeshahitimu na mahafali tulishafanya tar 25 November 2015...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
.
9 Reactions
132 Replies
17K Views
Njoo pm ujichukulie mume bila masharti mengi..! But make sure you're real serious.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu! Kuna mwanamke wa Kizungu nimetengeza Distance relationship na yeye, tuna miezi 3 sasa na juzi tumepanga ku meet next year mwezi wa 5,na hiyo ni Mimi kwenda Europe, Matarajio yetu ni...
0 Reactions
135 Replies
19K Views
http://theedmiracle.org/Video/
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kuweza kumwezesha mke wangu kujifungua salama leo Kyaka Nkunde referral hospital na kuniletea zawadi ya mtoto wa kiume. Hivyo kwa heshima kubwa niliyonayo...
4 Reactions
244 Replies
28K Views
HAKUNA mtu aliyeamini anachokiona mbele yake, kila aliyepita njia alitikisa kichwa na wengine kuangusha machozi. Polisi kutoka kituo cha kati cha Nairobi walikuwa hapo mbele ya kanisa hilo kubwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hali sio nzuri mtaani, simu zinazoingia ni za mizinga tupu, ukimpigia tu simu mdada mnayefahamiana ndo kama tiketi ya kukuomba hela, michepuko mingine inazidi kufanya booking sasa naachaje njia...
1 Reactions
122 Replies
11K Views
Ni muda umepita nilikuja Benki kwenu kutoa Pesa kwa Western union (Hata hivyo sikufanikiwa) ukaniomba kitambulisho ikabidi nikupe Passport yangu. Leo nilitakiwa ku submitt Passport yangu...
0 Reactions
71 Replies
11K Views
Ndio nakua babu rasmi nime change sana wakuu naisi tv na mitadao kama JF vinachangia screen zinazeesha sana nina mindita na mijicho red.Naacha rasmi u JF kurudisha nuru TV simu nazo najipunguza...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hodi jamvini Naomba ushauri wenu juu ya yatokanayo na mapenzi katika jamii yetu. Juzi nilikuwa na wakati mgumu baada ya rafiki yangu wa karibu kuniletea nakala ya usia wa ?mali zake?. Yeye ni...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Mi na mke wangu tulikubaliana tuwe na watoto wawili. Na tayari tumeshabarikiwa kupata hao kwa kadiri ya makubaliano ndo mwisho wa kuzaa. Lakini kila nikiwaangalia watoto wangu wawili napata shauku...
0 Reactions
77 Replies
7K Views
Back
Top Bottom