Huku uswahilini kwetu hata salamu inanunuliwa..Mtt akikuamkia ukiitikia tu ujue kinachofwata ni mzingaSasa je, cha bure salamu tu.....
Si kweli sio lazima niseme i lv u. Mara nyingi mm naona aibu. Kama tuko sehemu moja nikipewa hela naweza mkumbatia kwa dakika kadhaa then nasema thanx. Bas. Nasema hivyo kwa sababu najua naenda kunfatia zawad so hakuna haja ya kusema i lv as if ni kitu kipya.akitoa laki 3. Natoa 50 namununulia raba au tishet bas.hapo najua next tym napewa kilo 3 ahaaaa!

Sijui Miss Chaga kalala?
Hatakosa jibu hapa.