Kwann wimbi la wanawake kuongeza makalio limeongezeka sana.

solvent

JF-Expert Member
May 16, 2015
644
338
Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia
idadi kubwa ya wanawake wakitumia njia
mbalimbali kuhakikisha wanakuwa na makalio
makubwa. Wapo ambao wamekuwa wakitumia
dawa za Kichina licha ya kuelezwa kuwa zina
madhara.
Ukijaribu kuzungumza nao, wengi wanasema
wanatafuta soko kwa wanaume wakware.
Wanaosema hivyo ukiwafuatilia ni wale ambao
wamekaa kibiashara zaidi. Yaani wapo sokoni
kuwinda wanaume.
Lakini sasa inafika wakati kila mmoja
anajiuliza, ni kipi kinachowavutia wanaume
wengi kwa wanawake waliofungashia
ambacho hakipo kwa wanawake wembamba?
Tunataka kusema wanawake wenye ?mizigo?
wana soko kubwa kuliko wembamba? Sitaki
kwenda huko kwa leo kwa kuwa kuna
makabila ambayo mwanaume mwenye kalio
kubwa na mahari yake inakuwa kubwa kuliko
mwenye nalo dogo.
Ninachotaka kukiweka wazi hapa ni sababu
za baadhi ya wanaume kupenda kuingia
kwenye uhusiano wa kimapenzi na wanawake
waliojazia. Hizi nimezipata baada ya
kuongea na baadhi ya wanaume.
Kusaka umaarufu/sifa Katika hili inadaiwa
baadhi ya wanaume wanapokuwa na wapenzi
wao waliojazia hujihisi wako juu kwa
wenzao. Ndiyo maana unaweza kumsikia
mwanaume akijisifia ?niko na mzigo wangu
hapa, si mmecheki kifaa?. Maneno hayo
yanaashiria kuwa baadhi ya wanaume
wanapokuwa na wanawake waliojazia,
wanaona fahari kusifiwa na wanaume
wenzao. Yaani hilo tu mioyo yao inafarijika.
Kile kitendo cha kila wanakopita kuacha
gumzo wengi wanakifurahia.
Hofu ya kukimbizwa mchakamchaka
Wanawake wenye ?mizigo? wanatajwa
kudatisha wanaume sana kimahaba lakini
baadhi yao wanadaiwa kuwa dhaifu kwenye
uwanja wa kujidai.
Iko hivi, baadhi ya wanawake wembamba
wanadaiwa kujifanya ni watundu sana.
Wanatumia muda mwingi kukukuruka
kitandani ili waonekane wanayajua mambo.
Baadhi ya wanaume hawapendi hivyo na
wanahofia kukimbizwa mchakamchaka
faragha na ndiyo maana wanaona ni bora
kujichukulia mizigo. Ila ni ukweli kwamba
kuna mademu wengine waliojazia ambao ni
noma.
Urahisi wa kupata stimu
Wanawake wanene wana joto sana, miili yao
inadaiwa kuwa kichocheo kikubwa sana cha
kuamsha hisia za kimapenzi kwa mwanaume.
Ndiyo maana wapo wanaume wengine bila
hata kufanya mapenzi hujikuta wakiridhika
na ile kutalii tu miili ya wapenzi wao
wanene.
Ni wepesi wa kutosheka
Inaelezwa kuwa, idadi kubwa ya wanawake
wembamba mpaka kuwaridhisha inahitaji kazi
ya ziada. Hii ni kwa sababu baadhi yao wana
sarakasi nyingi na hawakubali kuonekana ni
watupu.
Hata hivyo, baadhi ya wanawake wanene
wanatajwa kuridhika haraka na siyo watu
wenye makuu kwenye ulingo kiasi kwamba ni
wachache sana wanaoweza kuonesha umwaba
 
Wanawake wanene wana joto sana, miili yao
inadaiwa kuwa kichocheo kikubwa sana cha
kuamsha hisia za kimapenzi kwa mwanaume.
Ndiyo maana wapo wanaume wengine bila
hata kufanya mapenzi hujikuta wakiridhika
na ile kutalii tu miili ya wapenzi wao
wanene.

ndo mana wanawake wanene wamekuwa adimu siku hizi....
 
Ata m sielewi matako niyakazi gani hasa lkn napendaga tu kuyaona yan mwanamke mwenye tako akipita lazima nigeuke.
 
Wanawake wanaongeza ukubwa wa makalio, wanaume tunaongeza ukubwa wa dudu basi ngoma droo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom