Salaam,
Nimekaa nikatafakari kwa kina na uzoefu nilionao wa miaka thelathin kwenye eneo la mahusiano nikagundua yafuatayo ndo sababu kuu za wadada kuachika au kutoolewa: kujifanya matawi sana...
jaribu kumfkiria mtu kitu ambae hua anakufanya utabasam. unajsikiaje vizur eeee? kama unae mtu anaekufanya utabasam huna hja ya kua stressed coz you are so blessed
Life can get out of control pretty quickly without a reason, yes...without an excuse. How are you prepared? what's your Plan B when the world turns against you by suddenly losing everything you...
Aisee guys mwenye ujuzi na hili naomba anielekeze
,yaan nikikutana kimwili na mwanamke nikijaribu kuvaa mpira mashine haisimami. Nikijitahidi sana labda kwa bao la kwanza ila hata hilo bao la...
TAFSIRI YA SHUKA KITANDANI KWA MWANAMKE ALIYEFUNDWA SHURTI SHUKA LIONGEE KITANDANI....,SI WAJITANDIKIA TU KITANDA KAMA MSUNGO HAPANA........ TUANGALIE ZILE SHUKA ZENYE MAANA KUNA ZENYE MAANA NA...
Habari zenu wanaJf,
Ebana mimi nna girlfriend, nimedumu nae almost mwaka mzima sasa, lakini kila nikimwambia nampenda au nimemmiss huwa najibiwa majibu kama k, thanx.
Kiukweli haya majibu ya...
Hizi hapa hatua muhimu kabisa za kumtomgoza mwanadada ndani ya dakika chache tu atakuwa amekubali.
Mwanamke huwa navutiwa sana na mwanaume ambaye ni mkorofi kiasi fulani.
1. Hakikisha mara ya...
Ashukuriwe Mungu aliye tupa neema hii ya kuumaliza mwaka 2015, na sasa zimebaki siku chache kabla hatujaingia 2016!
Mwito wangu kwako mwana JF, fanya kila uwezalo kuwasamehe waliokukosea,kukuudhi...
Habari wakuu,
Mada tajwa hapo juu yahusika. Nazungumzia harusi sio ndoa, naomba kueleweka na kuweka wazi hilo.
Mimi ni kijana ambaye bado sijaingia kwenye ndoa lakini hali ya ndoa ambapo harusi...
Mwanaume mmoja huko Mara amefikishwa mahakamani kwa kosa la kumuambukiza ukimwi kwa makusudi mpenzi wake.
Msichana huyo alimkuta mpenzi wake akinywa ARV usiku .
Chanzo Magaazeti
Habarini za asubuhi wapendwa katika bwana.Naomba nichukue fursa hii takatifu kutoka kwenu wana jamiiforums wenzangu kuwa nawatakia kheri ya Christmas na mwaka mpya popote pale mlipo.Amen.
Habari wanajamvi.Ni takribani siku nne sasa nimeletewa binti wa kazi toka Tanga.alipofika nilimwacha azoee mazingira kabla hajaanza kazi rasmi hivyo shughul zote nilikuwa nafanya mwenyewe huku...
Mabibi na mabwana,
Ni matumaini yangu hamjambo. Kuna hii drama inaendeleakatika maisha yangu na leo hii nimefikiria sana na kuamua kuanika ukweli hapajamvini ili nisikie maoni yenu nap engine...
Nimedate zaidi ya wasichana na wanawake 15,jamani mwenzenu nikishamtongoza msichana akikubari uzuri wake kwangu unaanza kupungua,nikishapewa kiboga tu hata hamu ya kumuona inaisha kabisa,sasa hivi...
KAMA UNAJALI UTAMWAMBIA UKWELI HUTOACHA APOTEE
Moja ya vitu vinavyotufanya tunaendelea kuwepo duniani kama binadamu ni kujali. Ndio tunajali sana kuhusu sisi wenyewe na hata wale wanaotuzunguka...