Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,085
- 5,417
Khaaaa eti unataka kumnunulia nguo mpenzi wako unaanza kumpigia simu na yale majina yenu eti "sweetie kiuno unavaa namba ngapi?" ala! inapunguza ladha ya zawadi wewe.
Sikia.
Katika mahusiano kuna vitu unatakiwa kuvijua na kuwa navyo kichwani kama usivoweza kusahau jina lako, unatakiwa ujue mchumba wako anapenda, nguo za aina gani (jeans, pensi, suruale ya kitambaa, shati, t-shirt, gauni, sketi au skin jeans?)
Anapenda rangi gani ya nguo.Anapenda kinywaji gani
Chakula kipi anapendelea
Anapendelea starehe ipi
Sio kila siku kuulizana kama mahakama ya mwanzo.
NAWASILISHA