Apandishwa kizimbani kwa kumuambukiza UKIMWI mpenzi wake

Deo Corleone

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
16,975
13,146
Mwanaume mmoja huko Mara amefikishwa mahakamani kwa kosa la kumuambukiza ukimwi kwa makusudi mpenzi wake.
Msichana huyo alimkuta mpenzi wake akinywa ARV usiku .
Chanzo Magaazeti
 
Kwahiyo kumkuta mtu anakunywa ARV ndo ameshakuambukiza VVU.?
 
Mleta mada mbona kama umekurupuka,jinc ulivyoandika kwani mtu kama amekutwa anakunywa hizo ARV's ndio kuambukiza?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom