Tangazo kwa vigori na waseja wote kuhusu kufunga ndoa kanisani

fatu2010

Senior Member
Mar 4, 2014
173
142
ImageUploadedByJamiiForums1450732954.865630.jpg
 
Doh! Kwa hayo mashart inatakiwa mabikra tu ndio waoane kwa ndoa kanisani!

Hiyo tangazo ni kiboko
 
Mbeya haviishi vituko jmn. waangalie sana wasije kuwa wahanga wa mateso
 
Wafanye hivi. Kama ni bikra na hajawahi avalishwe shela jeupe. Kama alishawahi avalishwe shela jekundu. Kama alishwahi mpaka na kutoa mimba avalishwe shela jeusi.
 
Most crimes has been committed under the name of God by reckless leaders who think their job is to act on behalf of God.
 
Mbona ameongelea wasichana tu, vipi na wanaume waliowahi kuwapa mimba wasichana wengine ambao si wa dhehebu hilo na kisha wakatoa hizo mimba, na sasa wanaoa msichana mwingine huku akimwacha yule ambaye ameshatoa mimba.

Mfumo dume hadi kanisani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom