Nashindwa kutumia condom

newbeliever

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
248
48
Aisee guys mwenye ujuzi na hili naomba anielekeze
,yaan nikikutana kimwili na mwanamke nikijaribu kuvaa mpira mashine haisimami. Nikijitahidi sana labda kwa bao la kwanza ila hata hilo bao la kwanza nosipoejaculate haraka hamu inakata ghafla mashine inalala. Sasa kwa bao la pili ndo kabisaa nashindwa kuvaa mpira kabisaaa.
Nashindwa kuelewa tatizo nini? Au nifanyeje niweze kuwa na hamu/hisia kali kiasi kwamba mashine ikisimama naeza valisha mpira vizuri liwe bao la kwanza au hata la pili.
 
Acha ushamba, ndom ndo mpango mzima, mi hadi wyf napiga na ndom (family planning) wewe unaleta jeuri.
 
Usile pipi na maganda yake.
Chagua zinaa ufe mapema, pekupeku uishi kwa mashaka au piga kimya .
 
Yaonyesha ulikua mpiga nyeto sana......
Anyway jaribu kujiamini tu ukiwa na manzi wako kisha vuta hisia
 
Je wewe ni member wa CHAPUTA??jibu swali kwanza tuone tunaanzia wapi kutatua hilo tatizo.
 
Back
Top Bottom