shonkoso
JF-Expert Member
- Mar 13, 2015
- 671
- 1,427
Nimedate zaidi ya wasichana na wanawake 15,jamani mwenzenu nikishamtongoza msichana akikubari uzuri wake kwangu unaanza kupungua,nikishapewa kiboga tu hata hamu ya kumuona inaisha kabisa,sasa hivi nawaza nitaoa kweli?,kwaa sasa nawakumbuka kidogo wasichana niliyo kutana nao miaka ya 2004 mpaka 2009,naona kidogo nikikutana nao naweza kuhisi kurudiana.My age is 36 kuna msichana namfuatilia ila naona kila dalili ya kunikubari naona hamu ya kuwa nae inapungua kwa kasi,naomba ushauri wenu,will this ever stop? am really worried