T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,523
- 29,322
Habarini za asubuhi wapendwa katika bwana.Naomba nichukue fursa hii takatifu kutoka kwenu wana jamiiforums wenzangu kuwa nawatakia kheri ya Christmas na mwaka mpya popote pale mlipo.Amen.
Ahsante..na kwako pia. Nitakupitia twende kwenye mkesha wa Krismas
Na maulid IPO pia happy maulid day
Amina mpendwa mkatagogo......vipi kwema lakini mkuu.
Akhsante Sana Mpendwa Wangu missyrose.....Wow naomba unipitie mamy.
Kwema kabisa hapa Ni mwendo hat- trick sikukuu nagonga maulidi,inakuja krismas halaf namalizia mwaka
Mkatagogo
Poa poa..
Hahahaha haya bhana ila karibu sana pande zetu hizi tujumuike pamoja kugonga hizo hat-trickKwema kabisa hapa Ni mwendo hat- trick sikukuu nagonga maulidi,inakuja krismas halaf namalizia mwaka
Jina langu mama sema
Hataa..nimekuita tu. Kwema?
Kwema lakini mpendwa wangu missyrose
Huku tunashukuru mpendwa