Wisest man
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 993
- 333
Jamani nilikuwa busy kidogo , nilitamani kuingia JF walau hata mara moja kwa siku, lakini sikupata nafasi,
Leo nimepata nafasi ya kuwasalimia, kuna PM nyingi tu nimezikuta zikiniuliza kwanini sionekani MMU, hivyo napenda kuwaambia kuwa tupo pamoja na ninawapenda sana wana MMU.
Pamoja Daima.