Magnificient
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,177
- 734
Salaam sana wanajamvi wenzangu.
Siku ya leo ndo yalinikuta, hadi nikajuta kutoka na mtoto wa watu.
Kama kawaida kula ujana na kupunguza stress tukaenda resort moja kwa ajili ya lodging, swimming, msosi n.k. Wakati tupo room lodge hali ya hewa ya binti ikabadilika, alipata acute attack nisiyoijua akapoteza nguvu ya hata kusimama, kashindwa kuongea, akaanza kujipiga piga miguu na mikono then akalegea mwili mzima; completely helpless.
Ikafika kipindi hadi nikahisi anakata roho muda si mrefu, maana alikuwa anajinyonganyonga kwa uchungu huku anapepesa macho.
Nikiwaza kwao wananifahamu, ni rafiki yake.
Uhusiano wetu mwingine hawaujui, lodge tulifata nini?
Nilichoka kwa kweli.
Nikaplan nikodi tax nimpeleke hospitali akakataa katakata, huku bado analalamika!
Hadi nikawaza ule wimbo "kafia gheto". Ila nashukuru baada ya muda ndipo akatulia na kurudia hali ya kawaida, wakati akili yangu ishavurugwa na kujuta vya kutosha. Mwenzangu mwana MMU, wewe ungefanyaje?