Kwanini wanaume wanasuka nywele?

Kwanini wanaume wanasuka nywele?

RICARDO KAKA

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2012
Posts
865
Reaction score
338
Wadau naomba kuuliza, hivi ni kwanini mwanaume anasuka nywele?

Hivi inakuwaje mwanaume mzima na rijali unaenda saloon za kike na wewe unaweka kichwa mwanamke anakupumulia kisogoni?

Inawezekana hawa jamaa huwa wanavaa hata sidiria! Who knows bwana!

Kama ameweza kusuka nywele aonekane kama mwanamke, inawezekana wanavaa hata chupi za wapenzi wao.

Hivi mwanaume aliyesuka nywele anaweza kumcheka shoga?

Mmmmmmmm! jaaamani kwa mwanaume kusuka inaleta ukakasi kidogo.

Pia soma:

Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika

Baraza la Sanaa Zanzibar: Wanaume Wanaosukwa kama Wanawake kukamatwa, faini ni Tsh. Milioni 1 au kifungo cha Miezi 6
 
Inategemea mazingira anayoishi na kazi anayofanya, otherwise suala la mwanaume kusuka nywele halitakiwi kukuumiza sana kichwa.
Watu kama kina RICARDO KAKA kusuka nywele kwao ni kawaida tu.
 
hairstyles-for-braided-hair-cornrow-77450.jpg
 
Inategemea mazingira anayoishi na kazi anayofanya, otherwise suala la mwanaume kusuka nywele halitakiwi kukuumiza sana kichwa.
Watu kama kina RICARDO KAKA kusuka nywele kwao ni kawaida tu.
Yap yap umemjibu vizuri sana!
Kwanza mwanaume kusuka nywele ni jambo la kawaida sana ila inategemea umri wake,kazi yake na mazingira hanayoishi.
Isitoshe wakaka au wavulana waliowengi huwa wanapenda kusuka misuko ya kiume kwa kutumia Natural hair(nywele asili)
 
kusuka tena mwanaume.....?
Ndiyo,kwani cha ajabu nini? Si moja ya swaga tu. Hebu vuta hisia wewe ni kijana kuanzia miaka 25-35 au 40...una moto bike yako CC 600,bomba 2 alafu ina crazy sound unakatisha mitaa ya Mbezi tangi bovu hadi Boko unaelekea kula weekend
yako Bagamoyo...nyuma ya bike yako umempakiza mrembo mzuri amekukumbatia huku akiwa na pensi ya jinsi na laba...alafu wewe mwenyewe umesuka line za kiume kichwani na umetupia black sun glass.

Usipime wangu!...watu weweeeee! Ala chezea wewe
 
Back
Top Bottom