Msaada please

Msaada please

kidE Meshack

Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
92
Reaction score
7
Nime-face na deadly situation nimekua na my girl kwa muda wa miezi sita but now week tatu zimepita sijasex nae tatizo ni kwamba anaogopa since kasafishwa baada ya kupata miscarriage, nakaa nae room moja, sitaki ku-mcheat had pale atakapokua tayari tatizo kanipa option mbili, Kutafuta spea tairi au tuachane.

Lakini hakuna hata kimoja nilichokubali,

zaidi ya kusema nitasubiri even a year, I love her I see...

Kama mdau wa JF, Nambie chochote juu ya hii situation.,,, #ugwadu # utaniua...
 
We unaonekana malaya sana,sasa unataka tukushauri kuzin?itakua pepo limekutuma kuomba uhalalisho wa kuzin.kijana fanya kazi acha ujinga utazeeka hata bito huna.
 
Si umeishasema unaweza msubiria even for year so keep waiting jamani kama kweli unampenda
 
Kuna aina nyingi za namna ya kukidhi haja zako oral sex and mambo mengine na wala sio lazima uingize mtwango kwenye papuchi jombaaa.
 
Unakaa na mtoto wa watu wala hujamuoa?
Halafu labda hakusomi kama unampango nae ndo maana kakwambia hivyo msimamo wako juu yenu nini?
 
Huyo hata mapenzi na wewe hana, mwenye kukupenda hawezi kuthubutu kukwambia tafuta mtu mwingine au tuachane loh, kama anaogopa au rizon yoyote aliyonayo alipaswa kukwambia tu kistaarabu usubiri, sio hizo option alizokupa
 
mrudishe binti wa watu kwao mapema sana acha uzinzi wewe loh ... anaogopa kwa sababu uzazi upo juu unaweza kamata mimba nyingine na yeye hataki kuzaa na wewe ,... kwanza lazima ujue yawezekana pia ni changa la macho hilo siyo miscarrage kaamua kutoa mimba kwa sababu ya wewe kutokuwa na mwelekeo ,.... ushauri acha uzinzi wewe bwana loh!!!@!
 
Ukiona binti anakupa conditions kama hizo ujue yupo nawewe ili siku ziende tu!! Ndio maana yupo tayari kwalolote!

Kiufupi huna chako hapo na hakupendi.
 
We jamaa inaonyesha wewe ni mlinda goli tu mwenye mali yupo sasa dalili ya mvua ni mawingu na nyota njema huonekana asubuhi fanya maamuzi sahihi kijani mwenzangu kungali bado mapemaaaa
 
Kila asubuhi piga puli halafu uende kazini
 
We unaonekana malaya sana,sasa unataka tukushauri kuzin?itakua pepo limekutuma kuomba uhalalisho wa kuzin.kijana fanya kazi acha ujinga utazeeka hata bito huna.

Sawa Ankoo, bt ishu ndo iko ivo coz ku-sex ni moja ya vitu muhimu kwa boys
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom