Mama hana hata baiskeli, this is for my baby.

Mama hana hata baiskeli, this is for my baby.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,864
Wanaume aliyeturoga kafa maana angekuwepo angetengua uchawi wake, haiwezekani mama yako aliyekuzaa kakulea,kakutunza vizuri unashindwa kumnunulia hata baiskeli lakini Mupenzi just mpenzi unamnunulia gari la dhamani kubwa na kutangazia umma na kingereza chenu kibovu ''this is for my baby'' au ni mimi na ushamba wangu jamani, Mpenzi gari, nyumba nzuri mama anateketea na umasikini Wanaume tuna laana.
 
hahahahahaha inakuwa sio akili yenu hujui hilo mkishadatishwa on bed mnatoa ahadi zote na siku zote ahadi ni deni
 
hahahahahaha inakuwa sio akili yenu hujui hilo mkishadatishwa on bed mnatoa ahadi zote na siku zote ahadi ni deni

Hata mimi ngoja nimuulize mama Ghati J.lee kama atataka gari.
 
Last edited by a moderator:
mama alikua akibahatika kuzaa mtoto wa kiume anafurah sana kwani anajua wale mabint wataolewa lakini yule wa kiume atabaki kuwa mwangalizi wa wazazi wake watakapozeeka...
lakini mambo yamebadilika, vijana wa kiume hawathamini kbs wazazi wao, lakini watoto wa kike, haijalishi wameolewa au la lazima watunze wazazi wao. HII NI ISHARA MBAYA SANA KWENU WANAUME
 
mama alikua akibahatika kuzaa mtoto wa kiume anafurah sana kwani anajua wale mabint wataolewa lakini yule wa kiume atabaki kuwa mwangalizi wa wazazi wake watakapozeeka...
lakini mambo yamebadilika, vijana wa kiume hawathamini kbs wazazi wao, lakini watoto wa kike, haijalishi wameolewa au la lazima watunze wazazi wao. HII NI ISHARA MBAYA SANA

Ni kweli Angel Msoffe siku hizi watoto wa kike wanatunza sana familia.
 
Last edited by a moderator:
Hilo neno kuntu, hakika lazima mara zote tujitafakari pale tunapokuwa na wapenzi wetu na hasa tunapowaza jinsi ya kuwakidhi haja ya upande wa vitu kama zawadi nk, maana vinginevyo tunachuma dhambi zaidi na zaidi.
 
Sio wote mkuu, mimi siko hivyo kabisa
1394259411884.jpg
 
wazazi wetu tumewaacha hapa wakiteseka na maisha ya ugali wa mtama na uji usio na sukari!

525472_222995601145306_1823196228_n.jpg

at the same time, wapenzi wetu tunang'ang'ana kuwapangishia nyumba zenye thamani kubwa hata kutuzidi..

good%20house%20picture%201.JPG
 
its a shame..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom