Kesho safari ya kwenda Tarime

Kesho safari ya kwenda Tarime

The Intelligent

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
2,459
Reaction score
824
Wakuu habari yenu, nimepata safari ya kwenda Tarime kesho, naomba wenyeji wa huko mnijuze hali ya huko Tarime ikoje kwa sasa?
 
Kwa hiyo kila mtu akisafiri kwenda sehemu aje kuuliza humu.
 
Joto ni nyuzi 23-25
Pepo za kaskus zinavuma kwa spidi ya 30kmps
Guest hazijajaa bado
Jua linawahi kuchomoza
 
Acha uoga wa kike kwani umeambiwa hautofika? Tarime ni sehemu nzuri sana ya kuishi hali ya hewa ni baridi kiasi vyakula vinapatikana kwa wingi, ila usijifanye kiwembe au tongozatongoza utaishia kuchalazwa mapanga.

Wakuu habari yenu, nimepata safari ya kwenda tarime kesho, naomba wenyeji wa huko mnijuze hali ya huko tarime ikoje kwa sasa?
 
Acha uoga wa kike kwani umeambiwa hautofika? Tarime ni sehemu nzuri sana ya kuishi hali ya hewa ni baridi kiasi vyakula vinapatikana kwa wingi, ila usijifanye kiwembe au tongozatongoza utaishia kuchalazwa mapanga.

Nimekupata mkuu.
 
Usishike demu tarime utanasa nakushauri ukizidiwa piga tonye tu
 
Unatokea wapi?chamsingi usiende bar hovyohovyo itakula kwako na kingine nenda na panga,shoka,kisu hizo ni kama nguo za huko.nafikiri sehem ya kulala amazon ni pazuri.unapitia njia gan ya bunda au nyamongo?
 
kwani ulikotoka ni salama sana kiasi cha kuulizia unakoenda?

Tanzania ya sasa ni chafu kila mahala...

au hujui taifa lako ni la 52 kwa amani duniani sasa?

hebu kwenda Tarime..... ukikuta vita, pigana na wewe!

vita ni vita...
 
Back
Top Bottom