Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,627
- 30,606
Wana MMU,habari zenu ni kuwa kuna msichana nilikutana nae siku ya ufunguzi wa baraza la madiwani ktk halmashauri fulani,huyu binti alitokea kunivutia sana hivyo nikawa namlia mingo.Tulikuwa tumekaa jirani kidogo ingawa yeye alikuwa kwa nyuma kiasi na mimi mbele yake kidogo hivyo nikawa nageuka natupia jicho mara kadhaa kuona respond yake kwa kutumia nguvu ya macho.bahati nzuri ilitoa majibu chanya mara 3 kati ya 5 nilizo mwangalia tuligonganisha macho na 1 kati yake aliachia tabasamu lake bashasha kabisa,nikaona nimisha pata get pass nikatulia tuli sasa nitafute fursa ya kupata namba ya simu.
Kipindi walipo anza kuchagua mwenyekiti wa halmashauri nikasema hapa ndo chance maana watu macho na masikio yapo kwenye kupiga kura na kujua mshindi,kidume nikatoka nje kwa dakika 5 hivi nikarudi nikajisogeza alipo kaa tukapiga tory 2 ,3 hivi nikaomba namba,haikuwa shida kasema naomba ya kwako kwanza nikamtajia akaandika kisha akanifurashi nikapata ya kwake badaye nikamuuliza jina lake akanitajia nikasepa zangu .toka siku hiyo ni karibu mwezi hamna aliye mtafuta mwenzake wala sms.binafsi nilipendezwa naye toka siku ile ya kwanz tulipo onana aliniambia ni mwanafunzi wa chuo fulani na amekuja kwa ajili ya ndugu yake ambaye badaye nilimuona akimvisha taji ,kwa muda huo wote mpaka sasa sijataka kumtafuta maana hawa wadada wa chuo kwa mizinga wapo njema hivyo nilitake nijipange vizuri financialy na nimuanzie kwa afresh year ndo nimtafute maana mwaka huu wenyewe ulikuwa na majanga janga kwa upande wangu.
ninacho jiuliza kwa huyu binti yupo tofauti na wengine ambao mkisha badilishana namba utaona sms siku hiyo hiyo hata kama wewe hujamutafuta lakini huyu yeye ni tofauti hajawahi hata kuni beep wala sms nae sijui anakausha!.
Juzi kati nikamuona yule ndugu yake diwani aliye kuja kwa ajili yake ni (mu-mama) nikajaribu kuulizia wana uhusiana vipi nikaambiwa kuwa yule ni mama yake na kuwa huyu binti ni wanae wa pili.
sasa nataka tarehe 1 nimuende hewani sijui nitakuwa nimepoteza bahati au ndio mambo ya golden chance never comes twice,you let up you lose?.
Nawasilisha.