Habari za sikukuu wanajamvi,
Natumaini kumeisha salama,mwenzenu hapa sina lakufanya imebidi niombe msaada,nimewahi kukaa na housegirl kama miaka kumi hivi kiasi kwamba nilimuona ni mdogo wangu natukaheahimiana sana,kiasi cha kulipa mishahara yake in advance kama ada za wadogo zake matibabu ya wazazi, ukarabati wa nyumba kwao n.k.
Kila nilipotaka kuleta mfanyakazi wa pili kutokana na idadi ya watoto nilionao aligoma na kuniambia ataweza mwenyewe nimuongezee mshahara tu,kweli ni binti mzuri,watoto walipoongezeka umri nilipata chekechea yakuwapeleka dada akaanza kusoma ushonaji amekua fundi mzuri na anapata oda nguo nyingi,anajipenda na amependeza,sikujua kama anamahusiano ya siri na shemeji yangu yaani mdogo wa mume wangu,huyu shemeji alimpenda sana huyu binti,wamedumu kwa muda kama miaka mitatu kwenye mahusiano
Binti baada yakuona hatangaziwi ndoa akaanza vituko,mimi sikuanajua kumbe alipata mtu alietaka kumuoa mara moja,bahati mbaya huyo bwana mpya ni mpita njia tuu maana anamji wake siku nyingi,alianza kurudi usiku bila maelezo nilipomhoji alinijibu kuwa nisimfuatilie yenimkubwa sasa,
kiukweli nilimuelewa ila sikuruhusu yaendelee,alipangiwa chumba na huyo mbaba na akaondoka kwa mbwembwe,alimuacha shemeji yangu ndipo ukweli ulipojulikana,
Tulimtuliza shem akaelewa ila alikua anatafuta revenge,kama miezi minne ikapita kimya bila kumuona wala kuwasiliana na binti,nilipojaribu kumtafuta simu ilikatwa,mke wa yule jamaa alijua baada ya kasheshe nzito aliamua kurudi pale nyumbani,tulimpokea tukanyamaza kumbe alirudi ili aone kama ataweza kurejesha penzi la kwanza.walifanikiwa kurudiana ila niliwaomba waondoke kwangu.
Shemeji ni mfanyakazi ila hajawahi kukubali kuondoka kwangu safari hii alikubali alitafuta chumba haraka akiwa na kusudi la kumtumia huyu binti,amekua akimlala hata kama anablid(maelezo ya binti).
Binti alikuja kusema anaumia sana,tulipo liweka mezani shem akasema hakua anamhitaji ila alilipiza maumivu tu,hivyo kama binti anaumia aondoke,binti yupo kwangu analia siku ya 3sasa ,nimfanyeje asije kujiua humu,msaada jamani..