Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,767
- 29,721
Wadau,
Hopefully mmesheherekea vizuri sikukuu hii ya leo. Back to our topic mimi kuna mdada namfukuzia, naona kama anaelekea kuingia king na infact nataka niweke ndani kabisa. Hapa juzi-kati zimezuka story za eti nusu ya wababa wamesingiziwa watoto walio nao. Hii inaleta picha kua wadada au wamama wengi sio waaminifu. Ila sasa kuna issue hapa nataka niifanye ili nijihakikishie kua huyu mdada atakua mtu muafaka kwangu.
Katika kupiga nae story za hapa na pale amenitajia boyfirnd wake aliepita alivyo na why waliachana. Sasa nataka nimtafute huyo jamaa ili nimdadisi mambo mawili matatu kuhusu huyu mdada. Najua nikimuingia ki-gentleman nikamdadisi ataniwelewa tu na kunipa mawili matatu kuhusu huyu EX wake.
Ninewaza wazazi wake wanaweza kua wanamjua huyu mtoto wao ila inaweza kua ngumu kidogo sababu sijajitambulisha kwao, na hata ningejitambulisha pia wanaweza kumtetea mtoto wao. Pia wale sio rika langu ni watu wazima hivyo story za mimi na wao zinaweza zikawa haziendi ki hivyo.
Nimewaza kua mimi mtu au mwanaume mwenzangu akinifuata kirafiki akaniuliza kuhusu demu yeyote niliyepitia basi mimi nitampa live tu chochote atakachokiuliza kuhusu huyo demu bila kuficha, yaani mazuri yake na mabaya yake. Hivyo basi nami nadhani nikitumia approach nzuri basi Ex wa huyu mdada naemfukuzia hatonificha.
Haya ni mawazo yangu tu mimi kama Shark, labda wadau wangu hapa mnaonaje hii approach nayotaka kuitumia? Inaweza ikasaidia?
Karibuni

Last edited by a moderator: