Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,220
EVERY WOMAN SHOULD READY
1) Usimpandishie mumeo sauti kwa namna yoyote ile ni ishara ya kukosa hekima. Tafuta mbinu mbadala ya kumueleza alipokosea.
2) Usitoe madhaifu ya mumeo kwenye familia yako na kwa rafiki zako. Vitakurudia na wewe. Kwakuwa wote ni walinzi wa kila mmoja wenu. Kumbuka muu mwili mmoja.
3). Usitumie tabia na hali mbaya kama hasira na chuki kuwasiliana na mumeo huwezi kujua mumeo atatafsiri vipi. Kumbuka defensive women don't have happy home.
4) Usimfananishe mumeo na wanaume wengine huna uwakika na maisha yao. Wanapataje unachotumia kumfananisha na mumeo. Mfano mumeo ana Vits au Toyo ipite Range Vogue useme yule ndio mwanaume huwezi jua kapata kwanini. Usikute misikule, viungo au mshirikina. Ukimfanyia hivo mumeo mapenzi yake yataisha kwako.
5) Usiwatendee ubaya rafiki wa mumeo. Kwasababu huwapendi tu. Mtu anaetakiwa kuwatoa ni mumeo tu. Kama kuna dosari kuwa muwazi kwa mumeo yeye atajua namna ya kumuepuka.
6) Usisahau mumeo kakuoa na sio mtumwa wako. Kwaiyo timiza majukumu yako kama mwanamke na sio kingine. Ukishindwa timiza majukumu yako utaiweka ndoa yako hatiani.
7) Usimpe kazi mtu yoyote ya kumuhudumia mumeo, watu watamuhudumia kila jambo ila kumbuka mumeo ni jukumu lako. Utakuja kulia mwisho wa siku pale house girl atapomchukua mumeo kwa uzembe wako na kukimbia majukumu. Hata kama unafanya kazi ngumu vipi. Tenga muda wa kumuhudumia mumeo.
8) Usimlaumu mumeo akiwa kakosa mpe moyo akatafute zaidi. Kuwa mwanajeshi wake mpe moyo na tumaini, mpe mawazo mapya ya kutafuta badala ya kumlaumu. Kuwa mshauri mwema kwa mumeo.
9) Usiwe unasaza, kutawanya au kutumia vibaya, jasho zuri la mumeo. Kuna wanawake wanahonga wanaume mali za mumewe. Ni ujinga sana. Tumia jasho la mumeo vyema.
10) Usimnyime mumeo penzi kwa kisingizio cha kuumwa. Inabidi umpe anavotaka. Kumbuka ngono ni muhimu sana kwa mwanaume. Kwaiyo ukiendelea kumnyima haita chukua muda kutafuta mwanamke mwingine wa kumpa hiyo huduma.
11) Uaimfananishe mumeo na wapenzi wako wa zamani au wanaume uliofanya nao mapenzi. Nyumba yako haitaenda vizuri ukifanya hivo.
12) Usijibu maneno yanayo zungumzwa kuhusu mumeo mtaani, muache ajibu yeye kwakuwa yameelekezwa kwake japokuwa anaweza kusimama badala yako na kukutetea.
13) Usimropokee mumeo mbele ya watoto au kushindana nae mbele ya watoto. Wanawake wenye busara hawafanyi hivo.
14) Don't forget to check the smartness of your husband before he checks out.(Prov 12v4). Usisahau kumuandalia mumeo usafi wa aina yoyote mpaka mwenyewe afanye hivo. Hakikisha mumeo ni msafi muda wote na wewe unahusika na huo usafi.
15) Usiruhusu marafiki zako wawe karibu sana na mumeo.
16). Usiwe na haraka wala pupa unapokua kwenye kioo, unapojiremba au bafuni. Kwakuwa mumeo anakutana na wanawake wengi wanaotumia muda kwenye kioo, kujiremba na bafuni. Hakikisha ni msafi muda wote na uko nadhifu.
17) Usiruhusu ndugu au marafiki wawe na tamko la mwisho kwenye mahusiano yako na mumeo.
18) Mapenzi yako yasiwe ya kimaslahi zaidi. Umpende mumeo na kumjali hata kama umemzidi kipato. Muheshimu na kumpa mahaba hata kama umemzidi uchumi.
19) Usisahau mumeo anaitaji umakini na usikivu mzuri kutoka kwa mke. Kwaiyo umpe usikivu makini sana. Kumbuka good communication is the bed rock of every happy home.
20) Kama mawazo yako yanafanikiwa na kuwa bora kuliko yake. Usijifananishe nae wala kumdharau. Kumbuka ndoa ni ushirikiano wenu.
21) Usiwe mtu wa kumuhukumu sana mumeo. Kumbuka hakuna mwanaume ataetaka mwanamke msengenyaji au mlalamishi kupitiliza hata kwa mambo madogo madogo yasiyo ya msingi.
22) A lazy wife is a careless wife. She doesn't even know that her body needs a bath.(Prov 24v27)(Prov 20v13). Mwamamke mvivu au mzembe ni amekosa umakini. Hajui hata kama mwili wake unahitaji bafu.
23) Je mumeo anapenda aina ya chakula unachopika kila siku? Jaribu kuwa mtu wa kubadili mapishi yako. Kumbuka no, man jokes food.
24) Usiwe mtu wa kuwa na mahitaji mengi sana kwa mumeo. Furahia kila muda anaotumia kwako na kile anachokupa.
25) Mtengee mumeo glasi ya maji ya kunywa kila muda anapoingia ndani ya nyumba. Kumbuka sweetness of attitude is true beauty. onyesha kumjali mumeo na kumpenda.
26) Usijihusishe au kuwa na marafiki wenye mawazo potofu kuhusu ndoa. Kama unajali na kuipenda ndoa yako waepuke.
27) Ndoa yako uipe heshima kama inayostahili. Na ionekane kuwa na thamani ya heshima unayoipa.
28) Matunda ya uzazi na ndoa ni watoto ambao ni baraka kwa Mungu. Wapende wanao na usiwadekeze, wafundishe yaliomema kwao. Hakuna mwalimu mzuri kama mama.
29) Wewe sio mzee sana kiasi cha kushindwa kutoa mwongozo ndani ya familia. Usipunguze umakini ndani ya familia hata kidogo na kwasababu yoyote ile.
30) A prayerful wife is a better equipped wife, pray always for your husband and family. Kuwa mwanamke wa maombi hasa kwa mumeo na watoto.
Have a lovely day.