Boko halal
Senior Member
- May 14, 2014
- 175
- 124
Nina mchumba ambaye tunaishi mikoa tofauti tarehe 23 mwezi wa nne alikuja kunitembelea mkoa ninaoishi akakaa kama wiki baada ya muda kama wa wiki 3 akaniambia hajaona siku zake nikamwambia nenda ukapime au nunua kipimo ujipime mwenyewe inawezekana una mimba.
Kesho yake akaniambia amepima ana mimba nikamwambia haina tatizo azae tu tutalea maana tupo kwenye taratibu za ndoa cha kushangaza jana kajifungua tena mtoto mwenye afya.
Nikipiga hesabu naona bado siku zilikuwa hazijafika na hata makadirio ya manesi(kwa mujibu wake) ilikuwa bado mwezi mmoja, je nini kimetokea hapa huyu mtoto atakuwa wangu kweli?
Wataalamu nisaidieni.