mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,731
Yaani imekua kero ,mke wake ana mtoto mdogo wa mwaka mmoja na mwezi 1,huyu jamaa hajiamini kabisa tunakaa nae nyumba moja , ananichunguza kuanzia vidole hadi nywele ,To be honest me sijaonja kabisa ,pamoja na shughuli zake za kusafiri nchi za mbali ,sasa sijui mke wake amemuambia nini au amesikia nini
"Jirani ume develop tabia hii karibuni tu ,tofauti tulivyokua tunaishi mwanzo kuanzia 2012 ulipohamia kwenye hii nyumba"
Siku hizi hadi kusafiri ameghairisha (hapa sina uhakika lakini inawezekana Magufuli ashafanya yake) Jirani amekua kero juzi nimembamba kwenye corridor anaangalia vidole vya mtoto wake anaringinisha na vyangu kisa eti majirani wamesema mtoto amefanana na mimi pua kwa mbali......!!
Nimechoka aisee nahama hapa !!