navin dippe
Member
- May 18, 2015
- 47
- 104
Wana Jf habari za blue monday,
Kuna rafiki wa wife amehamishiwa hapa Dar kikazi, amefikia kwetu wakati akitafuta pa kuishi wamekubaliana na wife akae hapa kwetu mwezi. Ana wiki moja tangu ameripoti kazini kwake, hiyo wiki yote ni mimi ndo nimekua nikiondoka nae asubuhi kwenda kazini maana ofisi zetu wote zipo mjini, tangu Ijumaa wife amenishangaza kunizuia kumbeba huyu mgeni wetu kwenda kazini anataka nimpitishe kwenye dala dala. Sasa mimi niliemtuma akubali kumpokea?
Hivi nitaanzaje kumkatalia lifti wakati nimembeba wiki nzima? Nimepewa ultimatum kwamba tukirudi wote jioni nitaona,
sasa hii wakuu si kutafuta ugomvi bure? Siku zote anadai hawezi kuleta marafiki zake wazuri nyumbani labda wa kuja na kuondoka sasa imekuaje huyu kampokea? Na kwa kweli huyu mtoto kaumbika haswa!
Yaani ni mzuri ajabu, nyonyo kama embe bolibo ananukia marashi wakati wote, yaani kwenye gari hata akishuka harufu ya manukato inabaki kutwa nzima Juzi tumerudi home wife ananivaa chumbani kwamba tumetoka wapi anauliza mbona nakua marashi ya yule dada kumbe wapi hatujafanya chochote, tunaheshimiana mno, anajiheshimu sana huyu binti, ananiamkia asubuhi jioni, tena kwa magoti.
Yaani anaemmiliki huyu binti anafaidi kweli. Wakuu nimuhakikishieje wife kwamba hakuna madhara yoyote yanayoweza kutokea anielewe? Tunabishana usiku chumbani hadi nahisi yule dada anaweza kutusikia. Wakuu kuna mwenye suluhisho hapa nifanyeje? Ananihisi vibaya kumbe mimi sina wazo hilo, nilikua na mchepuko mke wa rafiki yangu alieachishwa kazi ila nimetubu na kuachana nao kutokana na kushindwa gharama za uendeshaji.