The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,906
- 19,109
This is just a reminder.
Kumekua na malalamiko ya kila siku ya wanaume wenzangu kuhusu kuumizwa na mapenzi na kuachwa licha ya wanawake kua wengi kuliko wanaume.
Nawakumbusha tu maana nilishawaambia humu mara kibao tu, kosa kubwa mnalofanya wanaume wenzangumnaoumizwa kila siku na wanawake ni kua na mpenzi mmoja.
Kuepuka maumuvu usiwe na mwanamke mmoja, mke sio mama yako, kua na wanawake wengi kadri uwezavyo, kung'ang'ania mke mmoja siku ukiachwa lazima ulie kama punda.
Mbinu pekee ya kuepuka kuumizwa ni kutokupenda mwanamke na kua nao wengi kadri uwezavyo.
Mimi nawakumbusha tu, mjumbe hauwawi, injili inasema peleka neno kwenye misuko suko, wakikataa nawa mikono uondoke, ukikataa huu ujumbe jiandae kulia.
Sharing is caring. Ni aibu mwanaume kulia umeumizwa.