Ushauri: Mgeni wa Mke wangu(Mwanaume), anahudumiwa na mke wangu zaidi yangu

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
8,154
13,377
Heshima kwenu wote,

Nusu saa iliyopita nilipanda daladala na kukaa kiti cha nyuma ya dereva,baa da ya mwendo kidogo dereva akaniomba nihamie kiti cha jirani yake (kwenye coaster)

Akaanza kuniambia kwa unyenyekevu mkubwa kuwa anajua mimi na mwanamume na ninaweza kumshauri jambo.

Akaanza kusema kuwa ameoa na ana watoto wawili chini ya miaka mitano,majuzi mkewe kamkaribisha mwanaume mwenye mtoto toka kijijini kwao Kwediboma,Handeni ili aje hapa Tanga mjini kwa ajili ya matibabu ya mwanawe.

Jamaa anaishi nyumba ya vyumba viwili na sebule na huyo mgeni wa mke wake amepewa chumba chake,jamaa kinachomuumiza kichwa ni mwenendo wa mkewe kumuandalia maji ya kuoga na kumuhandle huyo mgeni wa kiume kwa heshima kubwa bila yeye mumewe kutowahi kupata huduma hizo siku za nyuma.

Ameshamwambia mkewe kuwa hamhitaji mgeni hyuo nyumbani kwake,ila kewe amejitetetea kuwa,jamaa hana mwenyeji mwingine hapa mjini.

Kesho ni siku ya jamaa(mgeni wa huyo mwanamke) kwenda kliniki Bombo hospitali kwa ajili ya upasuaji wa henia ya mwanawe,na hapo ndipo dereva la daladala anapopata shaka zaidi ya kukosa kumuona mkewe kwa kuwa atakuwa bize kumpelekea chakula jamaa na mwanaye hospitalini.

Dereva wa daladala amechanganyikiwa,anaomba ushauri wenu afanye nini? Yaani mpaka mishipa ya kichwa imemtoka na anaonekana kukosa amani kabisa.

Nawasilisha!!!
 
Kakuita kiti cha mbele kakuomba ushauri alafu unatugeuzia kibao kuwa anatuomba sisi?!

Mwambie amueleze ukweli mke wake
 
alitakiwa akatae toka mwanzo angekuwa hataki wakae kwake.huduma bora kwa mgeni ni kawaida ili akamwage sifa njema kijijini akirudi huyo mgenj.huyo dereva mwambie awe makini kuendesha gari aache wivu wa kijinga.mke analala nae sasa tatizo liko wapi?
 
Kwasabb umeshindwa kumshauri mwambie aje mwenyewe huku kwenye bivhwa vingi maana ww alikutegemea umemwangusha
 
Heshima kwenu wote,

Nusu saa iliyopita nilipanda daladala na kukaa kiti cha nyuma ya dereva,baa da ya mwendo kidogo dereva akaniomba nihamie kiti cha jirani yake (kwenye coaster)

Akaanza kuniambia kwa unyenyekevu mkubwa kuwa anajua mimi na mwanamume na ninaweza kumshauri jambo.

Akaanza kusema kuwa ameoa na ana watoto wawili chini ya miaka mitano,majuzi mkewe kamkaribisha mwanaume mwenye mtoto toka kijijini kwao Kwediboma,Handeni ili aje hapa Tanga mjini kwa ajili ya matibabu ya mwanawe.

Jamaa anaishi nyumba ya vyumba viwili na sebule na huyo mgeni wa mke wake amepewa chumba chake,jamaa kinachomuumiza kichwa ni mwenendo wa mkewe kumuandalia maji ya kuoga na kumuhandle huyo mgeni wa kiume kwa heshima kubwa bila yeye mumewe kutowahi kupata huduma hizo siku za nyuma.

Ameshamwambia mkewe kuwa hamhitaji mgeni hyuo nyumbani kwake,ila kewe amejitetetea kuwa,jamaa hana mwenyeji mwingine hapa mjini.

Kesho ni siku ya jamaa(mgeni wa huyo mwanamke) kwenda kliniki Bombo hospitali kwa ajili ya upasuaji wa henia ya mwanawe,na hapo ndipo dereva la daladala anapopata shaka zaidi ya kukosa kumuona mkewe kwa kuwa atakuwa bize kumpelekea chakula jamaa na mwanaye hospitalini.

Dereva wa daladala amechanganyikiwa,anaomba ushauri wenu afanye nini? Yaani mpaka mishipa ya kichwa imemtoka na anaonekana kukosa amani kabisa.

Nawasilisha!!!

Mnyang'anye funguo za daladala kabla hajaja kuua abiria wake kutokana na mawazo ya mkewe na huyo jamaa yake.....rudi kamtafute haraka sana kwani kwa hali aliyonayo si vizuri aendelee kuendesha gari.
 
Anaendesha daladala za kwenda wapi katika mkoa wa tanga au anatoma nje ya mkoa wa tanga muheza na kuendelea na anaendesha daladala ipi
 
Hiyo story ni ndefu mno. Kwa route yenye pilika nyingi kama ya Raskazone - Ngamiani - Mabawa haisimuliki ikamalizika.
 
Mmmh mwambie anitafute kesho inshaalah takua mabawa polisi au aje tanga beach resolt jion mida ya saa kumi na moja
 
Mungu mkubwa alitufkisha salama na ndio alikuwa anaenda kupaki gari hadi kesho yake,maana alikuwa full stress.

Mnyang'anye funguo za daladala kabla hajaja kuua abiria wake kutokana na mawazo ya mkewe na huyo jamaa yake.....rudi kamtafute haraka sana kwani kwa hali aliyonayo si vizuri aendelee kuendesha gari.
 
Heshima kwenu wote,

Nusu saa iliyopita nilipanda daladala na kukaa kiti cha nyuma ya dereva,baa da ya mwendo kidogo dereva akaniomba nihamie kiti cha jirani yake (kwenye coaster)

Akaanza kuniambia kwa unyenyekevu mkubwa kuwa anajua mimi na mwanamume na ninaweza kumshauri jambo.

Akaanza kusema kuwa ameoa na ana watoto wawili chini ya miaka mitano,majuzi mkewe kamkaribisha mwanaume mwenye mtoto toka kijijini kwao Kwediboma,Handeni ili aje hapa Tanga mjini kwa ajili ya matibabu ya mwanawe.

Jamaa anaishi nyumba ya vyumba viwili na sebule na huyo mgeni wa mke wake amepewa chumba chake,jamaa kinachomuumiza kichwa ni mwenendo wa mkewe kumuandalia maji ya kuoga na kumuhandle huyo mgeni wa kiume kwa heshima kubwa bila yeye mumewe kutowahi kupata huduma hizo siku za nyuma.

Ameshamwambia mkewe kuwa hamhitaji mgeni hyuo nyumbani kwake,ila kewe amejitetetea kuwa,jamaa hana mwenyeji mwingine hapa mjini.

Kesho ni siku ya jamaa(mgeni wa huyo mwanamke) kwenda kliniki Bombo hospitali kwa ajili ya upasuaji wa henia ya mwanawe,na hapo ndipo dereva la daladala anapopata shaka zaidi ya kukosa kumuona mkewe kwa kuwa atakuwa bize kumpelekea chakula jamaa na mwanaye hospitalini.

Dereva wa daladala amechanganyikiwa,anaomba ushauri wenu afanye nini? Yaani mpaka mishipa ya kichwa imemtoka na anaonekana kukosa amani kabisa.

Nawasilisha!!!
 
Mwambie avute subra huyo mgonjwa,pili awaulize wazazi wa mkewe kwanini asiletewe habari kutoka huko kijijini kama mkwewe au yoyote kua kuna mgonjwa anakuja hiyo ndio sawa...
 
Back
Top Bottom