Namna wazazi wanavyoongea na mabinti zao katika umri tofauti

Galacha Maestro

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
1,353
2,229
NAMNA WAZAZI WANAVYOONGEA NA MABINTI ZAO KATIKA UMRI TOFAUTI

Miaka 13: Usipende wavulana ni wabaya.
Miaka 18: Sitaki nikuone na yule mvulana tena!
Miaka 23: Lini utatuletea mchumba wako?
Miaka 26: Wenzio wanaolewa.
Miaka 30: Tumekuambia kwamba acha
kuchagua sana wanaume, hutaki kusikia!
Miaka 33: Kuna mtu wa Mungu yupo kule
anaombea unaweza kupata mchumba
Miaka 36: At least pata mtoto mmoja.
Miaka 39: We will take care of all the wedding
bills yeyote ni sawa sisi tutagharamia kila kitu mwanetu wee mlete tu.
Miaka 45: hivi kweli nani alikuroga.?

changamkia fulsa umri ukifika.

Copied somewhere.
 
Basi ikifika 26 changamkia fursa.
 
Duh!kuwa mwanamume kuna advantages nyingi ingawa pia huwa kuna msoto but namshukuru mungu kuniumba mwanaume.
 
NAMNA WAZAZI WANAVYOONGEA NA MABINTI ZAO KATIKA UMRI TOFAUTI

Miaka 13: Usipende wavulana ni wabaya.
Miaka 18: Sitaki nikuone na yule mvulana tena!
Miaka 23: Lini utatuletea mchumba wako?
Miaka 26: Wenzio wanaolewa.
Miaka 30: Tumekuambia kwamba acha
kuchagua sana wanaume, hutaki kusikia!
Miaka 33: Kuna mtu wa Mungu yupo kule
anaombea unaweza kupata mchumba
Miaka 36: At least pata mtoto mmoja.
Miaka 39: We will take care of all the wedding
bills yeyote ni sawa sisi tutagharamia kila kitu mwanetu wee mlete tu.
Miaka 45: hivi kweli nani alikuroga.?

changamkia fulsa umri ukifika.

Copied somewhere.
Jinsia ya ko Tafadhali kama hautojali
 
Back
Top Bottom