Umasikini wa kujitakia huwa hivi

Galacha Maestro

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
1,353
2,220
1. Unanunua nguo bila mpangilio kuna watu wana nguo kama duka. Kuwa na nguo chache tu huwezi kushindana na fashion.

2. Unanunua Viatu bila mpango, viatu pia vinameza savings zetu, nunua pea chache zenye ubora ili zidumu.

3. Unatoa ofa bar bila mpango.
Nenda bar kwa bajeti mahususi. Hakuna atakae kusifia kwa kutoa ofa hovyo. Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake. Jifunze ubepari.

4. Unatumia hela nyingi kwenye simu ambazo sio productive. Unaweka vifurushi vya week vya sh 7000 au 10000 ili uchati na marafiki Fb au Whatsaap Huo ni ujinga. Badilika.

5. Unakopa hela benki na kununua vitu kama simu ya milioni na gari ambazo sio productive. Unakosa hela hata ya mafuta, gari la nini kwanini usingewekeza sehemu ili kuwe na mradi wa kuzalisha ndio ununue gari?

6 .Una marafiki wengi ambao ni mizigo kwako au hamuendani kivipato hivyo unajikuta unalazimika kutumia zaidi ya kipato chako ili uwa-impress. Meneja wa TRA na mwalimu wa sekondari unatarajia utoe offer mpaka umfurahishe Meneja? Utabaki na sh ngapi toka kwenye salary yako? Zinduka.

7. Huna timetable ya kudumu ya maisha yako, unajikuta unaburuzwa tu na marafiki zako kwa kwenda sehemu mbalimbali za matumizi.kuwa na ratiba za maisha yako na zisimamie kikamilifu, usiburuzwe!

8. Una michepuko inayokutegemea wewe kwa kila kitu. Wanakuita ATM wewe unakenua tu huzinduki. Badilika.

9. Una huruma sana kuliko kipato chako. Yaani kila ukiombwa unatoa hata kama muombaji hana genuine need. Usiwe mkristo kuliko Yesu. Fanya hivyo kama ni lazima. Ila sio kila anaekupiga mzinga unapigika.

10.Unatembea na hela nyingi kwenye wallet au mshahara wote kwenye wallet au handbag au nyumbani kwako. Unapokuwa na petty cash nyingi unatengeneza mazingira ya kutumia hovyo. Jifunze kuweka hela benki. Tembea na hela tu unayoihitaji kwa matumizi ya lazima.

Naamini tukizingatia kanuni hizi kumi tutaongeza savings zetu na kuwa na mtaji wa kufanya vitu vikubwa endelevu.

NB: MABADILIKO HUANZA NA WEWE
 
Big up brooo kwa nondo zako.ww ni Great Thinker pekee humu ndani.yaan nakuelewa sana broo.keep it up
 
1.Unanunua nguo bila mpangilio.. Kuna watu wana nguo kama duka. Kuwa na nguo chache tu huwezi kushindana na fashion.

2.Unanunua Viatu bila mpango.
Viatu pia vinameza savings zetu. Nunua pea chache zenye ubora ili zidumu.

3.Unatoa ofa bar bila mpango.
Nenda bar kwa bajeti mahususi. Hakuna atakae kusifia kwa kutoa ofa hovyo. Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake. Jifunze ubepari.

4.Unatumia hela nyingi kwenye simu ambazo sio productive. Unaweka vifurushi vya week vya sh 7000 au 10000 ili uchati na marafiki Fb au Whatsaap Huo ni ujinga. Badilika.

5.Unakopa hela benki na kununua vitu kama simu ya milioni na gari ambazo sio productive. Unakosa hela hata ya mafuta, gari la nini kwanini usingewekeza sehemu ili kuwe na mradi wa kuzalisha ndio ununue gari?

6.Una marafiki wengi ambao ni mizigo kwako au hamuendani kivipato hivyo unajikuta unalazimika kutumia zaidi ya kipato chako ili uwa-impress. Meneja Wa TRA na mwalimu wa sekondari unatarajia utoe offer mpaka umfurahishe meneja? Utabaki na sh ngapi toka kwenye salary yako?? Zinduka.

7.Huna timetable ya kudumu ya maisha yako, unajikuta unaburuzwa tu na marafiki zako kwa kwenda sehemu mbalimbali za matumizi.
kuwa na ratiba za maisha yako na zisimamie kikamilifu, usiburuzwe!

8.Una michepuko inayokutegemea wewe kwa kila kitu. Wanakuita ATM wewe unakenua tu huzinduki. Badilika.

9.Una huruma sana kuliko kipato chako. Yaani kila ukiombwa unatoa hata kama muombaji hana genuine need. Usiwe mkristo kuliko Yesu. Fanya hivyo kama ni lazima. Ila sio kila anaekupiga mzinga unapigika.

10.Unatembea na hela nyingi kwenye wallet au mshahara wote kwenye wallet au handbag au nyumbani kwako. Unapokuwa na petty cash nyingi unatengeneza mazingira ya kutumia hovyo. Jifunze kuweka hela benki. Tembea na hela tu unayoihitaji kwa matumizi ya lazima.
Naamini tukizingatia kanuni hizi kumi tutaongeza savings zetu na kuwa na mtaji wa kufanya vitu vikubwa endelevu...
NB: MABADILIKO HUANZA NA WEWE

Hayo yote uliyotaja yanaangukia katika category 2 kuu ambazo ndio zinachangia watu wengi kushindwa kuwa na maendeleo na kusonga mbele kimaisha ambazo ni:
  1. Kushindwa kuwa na malengo na mpangilio bora wa maisha yako
  2. Kuwa na matumizi makubwa kuliko uwezo wako na kufanya matumizi yasiyo ya lazima
 
Huu ni uzi bora kuliko zote, tangu Jamii Forums ianzishwe. Kutoa ofa za kiboya bar, kumewalostisha watu wengi sana.
 
Asante kwa kutukumbusha. Halafu leo ndo nimejua maana ya petty cash! loh! Huwa naskia tu mchukulie kwenye petty cash. Nimekubali yote isipokuwa kwenye gari. Ila kwenye gari hapo umeuliza gari la nini? La kutembelea. Usafiri dar kero atii. Mambo ya kuamka saa 10 na kulala saa 6 siyafurahii wala kunyeshewa na kupigwa jua sifurahii ila sina jinsi, kwa hiyo nitakopa na nitanunua gari na kuihudumia kama ninahudumia mtoto. Kwa hiyo badala ya kuzaa watoto watatu nitazaa wawili na gari mtoto wa tatu. Hiyo biashara nitakayofanya mpaka nipate faida ya kununua gari ni ipi na kwa muda gani? Basi ongeza pointi nyingine hapo kuwa tusijenge nyumba kwa kutumia mishahara yetu au mikopo halafu utuambie tukalale wapi wakati tunasubiri biashara zetu zikue. Mambo mengine si mtambuka. Ila ni vizuri kutoa angalizo. Kule arusha ndo usafiri mteremko. kihais kinakufata hadi mlangoni ili wasikukose, abiria hawasimami, kuna kuongea bei.... Huku dar usafiri wa umma ukikaa sawa nitauza gari niwekeze hiyo hela.
 
Hayo yote uliyotaja yanaangukia katika category 2 kuu ambazo ndio zinachangia watu wengi kushindwa kuwa na maendeleo na kusonga mbele kimaisha ambazo ni:
  1. Kushindwa kuwa na malengo na mpangilio bora wa maisha yako
  2. Kuwa na matumizi makubwa kuliko uwezo wako na kufanya matumizi yasiyo ya lazima
Asante kwa summary nzuri. Nimekuelewa vizur.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom