Hivi kuna ulazima wa kumpokonya vitu mpenzi wako wa zamani?

Uhuru24

JF-Expert Member
May 2, 2015
4,099
4,353
Hivi kuna umuhimu wowote wa kumpokonya vitu vyako kwa mpenz wako wa zamani,mfano km ulimnunulia gari,laptops,simu na vinginevyo????
 
Itategemea na makubaliano wakati wa kupeana....kama ulimwambia kwa sasa natumia gari la kazin na kuna lile gari limebaki pale nyumbani unaweza kuwa unalitumia kwa kes kama hii vp...Mtoto akizingua nijani kabla ya malengo kutimia?
 
Undava dawa yake ni Undava tuu..
KUPOKONYWA anapokonywa na Kujeruhiwa anajeruhiwa... kwani tsh ngapi????
 
Yah inafuatana mmeachanaje! Kama amekuacha vibaya mfano kwa kukusaliti ni bora kuchukua vyako maana unaweza kuwa unamfaidisha huyo mwanamke tu na yeye anaishia kukusaliti au kukufanyia ndivyosivyo.
Ila kama mmeachana kwa aman ni bora kumuachia vitu tu ibaki kama zawadi au kumbukumbu tu.ila hapa kuachana kwa aman ni labda kutokana na long distance,sababu za kifamilia na sababu nyingine ambazo sio za kumetendea unyama mpenzio.
Kuchukua vitu nafikir inaweza punguza kinyongo kama alikufanyia vibaya maana bila kufanya hivo unaweza ukawa unakumbuka gharama ulizoingia kumfanyia hizo mambo ukajikuta unaumia zaidi na kuwa na kinyongo na huyo ex wako aliyekutenda
 
Hivi kuna umuhimu wowote wa kumpokonya vitu vyako kwa mpenz wako wa zamani,mfano km ulimnunulia gari,laptops,simu na vinginevyo????
Umnyang'anye na mbegu ulizomwekea wakati wa kujamiana. Lengo langu sio kutukana bali nataka kukueleza kuwa alikufurahisha ndio ukaamua kumnunulia hivyo vitu, huwezi kumnyang'anya kwani nawe ile furaha aliyokupatia wakati ule huwezi kuilip
 
utoto, kutokujiamini na kukiacha kitu huku unakipenda ndio sababu ya kudai kile ambacho ulikinunua na kumpa kwa mapenzi yako.... Mwanaume lijali hapotezi muda kudai simu, saa, laptop na hata pichu. Hivi nae akisema ulipe ile mikao uliyokuwa unamuweka patatosha kweli?
 
Back
Top Bottom