benjaminy
Member
- Nov 15, 2015
- 42
- 15
Mrejesho
Hhr wadau WA jukwaa hili?
Napenda kuchukua wasaa huu kuwashukuru nyote kwa michango yenu na mawazo yenu.
Pia nawashukuru wote mliyekuja pm, isingewezekana kuwapa nafasi wote kwakuwa nafasi yenyewe ilikuwa ni moja tu.
Napenda kuwatia moyo kuweni na subira na msikate tamaa.
Kwa pamoja mmeniwezesha kukutana na mtarajiwa wangu ambaye exactly mioyo yetu imekubaliana kuwa mke na mume.
Baada ya muda wa matazamio tutaanza mchakato wa kukamilisha taratibu za ndoa.
Kweli inawezekana kupata mwenza mke au mume humu nimeamini.
Wakati ukifika tutawaalika .
Habari wana jamvi wote.
Natafuta mwanamke aliyeumizwa kwenye mahusiano, nataka aliye umizwa kwa sabbu anajua uchungu wake naamini hawezi niumiza.pia kama unasifa na hujawahi kuumizwa lkn upo serious pia unakaribishwa. lengo langu ni kuuanza safari mpya ya mahusiona na kufarijiana. Namaanisha kuanza nae maisha ya ndoa.
Mimi ni mwanaume WA miaka 37, elimu degree,kazi nimejiajiri,naishi moro, kabila mnyamwezi, dini mkristo, mrefu na mwili WA wastani.
Mwanamke nimtafutae awe yuko hiv, miaka kat ya 30 mpaka 42, elimu yyte mwenye shughuli ya halali ya kumpatia kipato, kabila lolote, dini mkristo na kama si mkristo awe tayari kubadiri, asiwe mfupi sana, mcheshi, anayejua uchungu WA kusaritiwa. Aliyetayari anifuate pm.
Nipo serious naomba mizaha isipate nafasi.
Karibuni.