Nilitishiwa maisha na rafiki yangu kisa mwanamke

BOB LUSE

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
3,738
3,198
I greet you all my elders

Katika mila zetu za kiafrika rafiki ni mtu ambaye mnakuwa na maelewano na ukaribu kama ndugu wa damu.Hii ilikuwa tofauti kwa huyu rafiki yangu anayeitwa baba Gasto (a.k.a) alitangaza kitaani ata nipoteza kisa mwanamke!

Mtaani kwetu kulikuwa na mdada jirani yetu mwenye muonekano wa kawaida alizaa na baba Gasto, kwangu huyu msicha na nilikuwa namchukulia kama mdogo wangu, ananipa story za mtaani kipindi ni kirudi toka shule vipindi vya likizo ndefu.

Huyu baba Gasto tulikuwa wote, michezo tulishirikiana pamoja utotoni mpaka ujana wetu.hatukuwahi kugombana wala kuvunjiana heshima.

Huyu dada aliyezaa na baba Gasto alihama kwa wazazi wake ambao ni majira
ni zetu na kwenda kupanga mbali kidogo na kwao baadae nilikuja kugundua kuwa
ilikuwa anataka uhuru wa kuwa na BabaGasto bila shaka!

Nilikuwa na kawaida ya kwenda kwa wazazi wake huyo binti na kupiga nao story familia nzima hivyo hata alivyohama haikuwa ishu mimi kwenda kwake nakupiga story za mtaani huyu binti tulisoma naye o level shule moja so story zilikuwa nyingi za ku catch up.

Siku ya tukio nilienda pale kwake tukawa tunapiga story vicheko vingi, mara ba
ba Gasto kaja, akasalimia, hakukaa akasepa alituacha tunaendelea na story kumbe kachukia anahisi nampindua!

Katangaza mtaani kuwa ama zake au zangu!Nilishangaa, sikuamini, nilitamani nimfuate nimhakikishie kuwa sina lolote na yule mzazi mwenzie,nikaamua kuacha kwakuwa baba Gasto alikuwa anatumiasigala kubwa ni rahisi kufanya maamuzi magumu.

Toka siku hizo nimejifunza kuchukua tahadhali na wapenzi wa watu,mwenye mpenzi, hawezi kuwaza unachowaza! So please, kama una jamaa yako asiyetabirika, epuka mazingira ya kuzoeana na mtu wake.

Sikuweza kufikiria kuwa urafiki wetu wa miaka mingi unaweza kupeperushwa
na nguvu ya penzi! Dunia ni chuo! Niliimarisha ulinzi wa maisha yangu na kuepuka urafiki wa awali na baba Gasto na kufuta mazoea na yule dada. Some people can threaten to kill in the name of love! to me is very wicked.
 
Kwanini uzoee wake za watu. Huendi kupiga story na mshikaji ila mkewe ndio jamaa yako. Sasa mkewe angekupa K ungekataa? Usipende kuzoea wake za watu utaishia kunyosolewa mkuu.
 
Ongelea kitu kingine tena mwanamke labda kama ungesema pesa hapo ningekuelewa.
Kwako wewe na mimi pesa inaweza kuwa kipaumbele,lakini kuna wanaume wenzetu mwanamke ndio kipau mbele!. watu kama hao sitaki ukaribu nao!
 
Hata Dola ya Troy iliharibika kisa mwanamke, usishangae sana.

Pussy is much powerful kuliko unavyofikiria.

Wacha keyi iitwe keyi
 
Kwanini uzoee wake za watu. Huendi kupiga story na mshikaji ila mkewe ndio jamaa yako. Sasa mkewe angekupa K ungekataa? Usipende kuzoea wake za watu utaishia kunyosolewa mkuu.
Hahahaa,hakuwa ameoa/wala.walikuwa hawaishi wote,walizaa naye tu pia rafiki yako anayejua uhusiano wenu kwanini usimwamini?! ndo utake kuua kisa dame?!!
 
Hata Dola ya Troy iliharibika kisa mwanamke, usishangae sana.

Pussy is much powerful kuliko unavyofikiria.

Wacha keyi iitwe keyi
sawa mkuu! nimeamini mapenzi yana run Dunia
 
Bob luse ukimkuta mtu anaenda up and down on your girl like elevator :) ndio utajua uchungu wa kuchapiwa
 
Back
Top Bottom