Mwanangu Zamda simuelewi kabisa

mama zamda

New Member
Feb 7, 2016
4
1
Habari zenu,

Nimejiunga JF kwa kwa malengo mbalimbali mojawapo likiwa ni kutaka kuuliza wadau na kuomba ushauri kuhusu mtoto Zamda, anamiaka 15 yupo form 3 hapahapa DSM, lakini huyu mwanangu ni malaya sijapata kuona, nimemkataza saaana na kumuonya lakini hakasikii, nikakakbidhi kwa ndugu zake wakanyooshe wapi, leo kamefukuzwa shule kana mimba, nimeshindwa hata cha kufanya wadau.

Ushauri wenu

NIMETUMWA NA JIRANI YANGU ITS NOT ME
 
Duh ndugu kwanza pole sana ,ila ni mtihani sana cha msingi tu mwambie akueleze nani baba wa mtoto then upafaham kwao kama ni mwanafunzi mwenzie upajue kwao na mumbane kwamba asome akijua ana mke anamgoja maana amna namna
 
Siku hizi kabla hujashika mimba au tia mimba omba kwa Mungu ili huyo ataekuja awe salama vinginevyo bora usipate.......
Shetani anafanya kazi sana ili watoto wasielewe kile wanachoambiwa.
 
habari zenu,
nimejiunga jf kwa kwa malengo mbalimbali mojawapo likiwa ni kutaka kuuliza wadau na kuomba ushauri kuhusu mtoto zamda,anamiaka 15 yupo form 3 hapahapa dsm,lakini huyu mwanangu ni malaya sijapata kuona ,nimemkataza saaana na kumuonya lkini hakasikii,nikakakbidhi kwa ndugu zake wakanyooshe waaaapi,leo kamefukuzwa shule kana mimba,nimeshindwa hata cha kufanya wadau!
ushauri wenu;
NIMETUMWA NA JIRANI YANGU ITS NOT ME
Hebu niitie huyo zamda nimnyooshe!!au kama anasimu ni pm namba zake !!hana adabu kabisa!
 
Kwahiyo wewe ndo mama Zamda ila habari ya Zamda kuruka njia umeambiwa na jirani ili umuombee ushauri JF?

MHhh, anyway kama ni mtu wa kujifunza hatua aliyofikia ndo itakuwa fundisho kwake. Wakati mwingine watoto wanafanya mambo bila kujua mwisho utakuwaje, huwa wanadhani hawawezi dhurika kwa namna yeyote ile. Muhimu sasa ni kumfanya/kumsisitiza awe responsible na hiyo mimba baada ya kujua alompa ni nani ofcourse.

Ila tukirudi nyuma lawama nyingi ziwaendee wazazi ambao sio sehemu ya maisha ya watoto wao. Wasiojua mtoto kaanza hayo mambo lini, wapi, na nani au kwa kishawishi gani. Matokeo yake huwa wanajua karibu na mwisho, yani kabla tu ya majanga makubwa kama mimba au HIV.
 
mwache alee mimba then mtoto, akikuakua mpeleke asome QT kama amefaulu form 2 amalizie mwaka mmoja, akimaliza cha nne mpeleke vyuo type ya DATASTAR TRAINNING COLLEGE akasomee hotel management atapata kazi fasta, ukishindwa nichek, hamna kuhuzunika maisha yenyewe mafupi haya, sie wengne tuliishia form 2 na tumetusua tunasoma sasa hv baada ya mambo kunyooka
 
Mama Zamda, mwenyewe umekiri kuwa hako katoto kalikuwa kicheche, hakana mmoja. Nashangaa ati watu wanakuambia ukaulize mimba ni ya nani. Katakutajia majina 100 sasa mpaka uwapate wote hao, na mjukuu kishaenda shule.
Cha kufanya, wala usikanyime ugali. Kape kale kashibe, huku ukimfunda yalo mbele yake siku si nyingi ili kajifungua salama usije kosa mwana na mjukuu.
Akijifungua salama, mpe vyake sasa. Aanze hiyo list. Ukaangalie kajukuu na sura ya mtajwa, ukiwachuja chuja utabakia na wachache hata ukianzana nao wapo watakao kubali kusaidia malezi. Yangu ni hayo
 
Haya ndio madhara ya kuruhusu watoto kushabikia chadema

majitu mengine sijui mnakula miharage ya wapi. Uchaguzi umekwisha weye bado unaota chadema. Yaani wanaume wa chadema tu ndo wenye mbegu za uzima?? Yaani weye, mbona huwaambii cuf wakubali marudio zenj
 
habari zenu,
nimejiunga jf kwa kwa malengo mbalimbali mojawapo likiwa ni kutaka kuuliza wadau na kuomba ushauri kuhusu mtoto zamda,anamiaka 15 yupo form 3 hapahapa dsm,lakini huyu mwanangu ni malaya sijapata kuona ,nimemkataza saaana na kumuonya lkini hakasikii,nikakakbidhi kwa ndugu zake wakanyooshe waaaapi,leo kamefukuzwa shule kana mimba,nimeshindwa hata cha kufanya wadau!
ushauri wenu;
NIMETUMWA NA JIRANI YANGU ITS NOT ME
Too fictional....!!! As if you are celebrating the trending of Zamda hata kama umetumwa na huyo asiyeweza ku log in JF
 
Baba yake yuko wapi?
Jamani someni thread ndipo mje huku kujibu. Mama mwenyewe kasema; Zamda alikuwa kicheche wa kutupwa. Atamjuaje mume?? Si ajabu hata mtoto akaja na koo mbili. Mwombeeni aji wa ukoo mmoja, Si ajab mtoto akawa chotara ila sio wale wa kule pem,,
 
Baba yake na malaya Zamda
 
zamda yupo form3 ana miaka 15. ushauri wangu jaribu ku edit kwenye umri weka miaka 16 ili uwakamate ma tabulalasa wengi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom