KALINZI NYUMBANI
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 1,776
- 1,536
Wakuu salama,
Kulingana na kautafiti kadogo nilikofanya, nimegundua watoto wakike wengi waliokulia kwenye mageti (mboga saba) wengi wao hawajui malavidavi. Ukikutana na mabiiti hawa then ukalinganisha na wale wa uswahilini.Mtoto wa kike huyu wa getini utamuona kama takataka.
Hata ukimwambia kaa mkao huu na ule anahisi kama unamsumbua.Kukupa tu papuchi anahisi kama anakupa gift flani. Sijui ni kwanini watoto hawa hawajui mapenzi, hawajui mwanaume wanataka nini, kiukweli watoto hawa wa magetini hamna kitu kabisa katika suala la mapenzi.
Kama mtu ulishawahi kuwa na watoto wa uswazi halafu badae ukawa nawa getini nafikiri utakuwa shahidi.Wale wamagetini mnaboa kinyama hamjui mapenzi kabisa.
Kwa mapishi sasa watoto wa uswazi ni balaa.Ukila msosi alie upika binti wa uswazi na binti let say wa masaki utaona msosi mtamu ni upi.Unaweza mfundisha binti wa getini mapenzi but vipi kuhusu mapishi?.
Watoto wa uswazi hongereni sana,mkipika msosi utasikia vidume wa getini huu msosi mpishi alikua u...ch nini?.
NOTE.
Kama unamsichana aliekulia getini, au umeoa mke alie kulia getini na unampenda.Usije kuchepuka kwa watoto wakike wa uswahilini,utaanza kusema umepewa limbwata kumbe ni malavidavi hatari.
Samahani kwa wale watoto wa kike wa magetini kama nitawaudhi na thread hii.