Kapepo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,066
- 1,194
Habari wakuu,
Naombeni ushari juu ya hili suala kwasababu naona naelekea kupotea toka nimpate huyu msichana performance yangu ya chuoni imepungua mno, pili tumekuwa tukigombana kila siku, tatu nyumbani walishanikaza nisiwe nae niachane nae maramoja.
Ila ikitokea tunaachana usiku basi tunapatana asubuhi hakuna hata mmoja anayekubali kumuacha mwenzie japo ugomvi unakuwa mkubwa mno nashindwa kuelewa hii misukosuko inayonipata tangu niwe na huyu msichana.
Naombeni ushauri ndugu zangu yani hapa kesho nina pepa mbili lakini naenda kuzisitisha kwa kukosa moody ya kusoma nahisi nitafeli tena.
Naombeni nisaidieni nitoke kwenye kifungo hichi jamani.