Namna wazazi wanavyoongea na mabinti zao katika umri tofauti

chaUkucha

JF-Expert Member
May 28, 2012
3,382
1,208
Miaka 13: usipende wavulana ni wabaya.
Miaka 18: sitaki nikuone na yule mvulana tena.
Miaka 23: lini utatuletea mchumba wako?
Miaka 26: wenzio wanaolewa.
Miaka 30: tumekuambia kwamba acha kuchagua sana wanaume, hutaki kusikia!
Miaka 33: kuna mtu wa Mungu yupo kule anaombea unaweza kupata mchumba.
Miaka 36: at least pata mtoto mmoja.
Miaka 39: we will take care of all the wedding bills.....yeyote ni sawa sisi tutagharamia kila kitu mwanetu wee mlete tu.
Miaka 45: hivi kweli nani alikuroga?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom