Sikuwa na malengo naye, ila anataka nimuoe

Kitombise

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
8,518
25,438
Baada ya kupata na kufanikiwa kupata kazi kwenye mashirika ya uma nilipangiwa kazi mkoani na ndo mpaka sasa nafanyia kazi huku. Baada ya kuwasili kazini ilinibidi nikayafute nyumba ya kufanikiwa kupata maeneo ambayo hayakuwa mbali sana na sehemu kazi niliyokuwa nafanyia.Sasa ikapita siku na miezi kadhaa nikawa tayari nimeshazoea kazi na kuzoea mtaa wangu niliokuwa naishi.

Ila hapo kwenye hiyo nyumba niliyokuwa nimepanga wapangaji waliokuwa wengi walikuwa ni wa kike wakiume tukiwa ni wawili tuu, mimi pamoja na job mate wangu siku zilivyozidi kwenda ghafla nikajikuta kwenye mahusiano na mpangaji mwenzangu aliyekuwa akifanya kazi sehemu fulani . Basi mapenzi yakaendelea kwa muda mrefu na yeye akawa ni zaidi ya mwenyeji wangu wangu kwa sababu yeye alkuwa ni mzaliwa wa huku. Basi siku moja akamleta rafiki yake kupanga pale ili wawe karibu kwa sababu wanasema walikuwa ni marafiki wa muda mrefu.

Ila huyu rafiki yake alikuwa ni mlemavu wa ngozi (albinism) basi na yeye nikafahamiana naye sana kama shemeji yangu na tukawa tunatoka dinner, club au kwenda kuangalia mpira mara kwa mara tukiongozana na huyu shemeji yangu pamoja na girlfriend wangu.
Sasa kwa bahati mbaya huyu girlfriend wangu akahamishiwa kikazi mkoa wa mbali na niliokuwa naishi kwa mfano ni sawa na ulikuwa unaishi Dar basi yeye akahamishiwa Kigoma.

Basi nikabaki na yule rafiki yake akawa tayari yuko mbali na sisi ila akawa anakuja likizo fupi mara moja moja kwasababu familia (wazazi) wanaishi huku. Hivyo ikapelekea mahusiano kuanza kupungia day after day kutokana na distance iliyokuwepo baina yetu. ikafikia mpaka kipindi akaniambia kuwa kashapata mshikaji mwingine ambaye pia ni mfanyakazi mwenzake.

Basi siku moja mida ya 7 za usiku nikiwa nimerudi home kutoka kwenye mishe zangu na nikiwa pia nimelewa, nikamkuta yule shemeji wangu akiwa ametoka kuoga hivyo nikamsalimia na kuingia ndani ila yeye akaanza kunitania akisema "aisee kumbe na ujanja wote ule wa kujifanya mpiga tungi sana kumbe unayumbana namna hiyo?" basi mimi nikamjibu kilevi kuwa ni leo tuu ndo imekuwa hivi basi ghafla kichefu chefu kikamjia na kuanza kutapia, yani nilitapika sana na hyo yote nilijua ni kutoka na kuchanganya hizi bia za offer.

Basi huyu shemeji wangu akaja na kuanza kunipa treatment huku akinicheka kuwa leo nmepatikana na jinsi nilivyotapika ndo kabisa nikawa nmezidi kulewa mara 10 zaidi ya nilivyokuwa mwanzo, basi akanisaidia kuniingiza ndani na kwenda kwake na kuniletea krest na rojo ya ndizi alizokuwa amepika siku ile, basi nikala kimtindo mpaka nikajisikia kuanza kupata ahueni sasa, basi baada ya kumaliza hapo tukaanza kupiga storry za hapa na pale ila nyingi zikiwa ni kunitania jinsi nilivyolewa nmelewa siku hyo na kunicheka pia.

Ila ghafla nikajikuta usiku huo NABANJUKA naye kwa sababu alikuwa amevaa kanga moja iliyokuwa imelowa na maji sehemu kadhaa na kusababisha kuleta stimu na vile kuongea tukiwa karibu na kugusana gusana hovyo, basi usiku huo NIKAGONGA sana mpaka alifajiri alipoamka na kwenda kwake.

Basi kuanzia siku hiyo demu akakolea kwangu mpaka wapangaji wengine wakawa wameanza kuhisi na hiyo yote ni kuja kwa room yangu all the time. Sasa tatizo likaja pale demu anataka eti ni muoe tusiishie kuchezeana tuu. Na ukiangalia mimi wala sikuwa na malengo naye mimi nilifanya kama replacement ya fafiki yake tuu kwasababu sikuwa na mpenzi mwingine kwa kipindi hicho na mpaka sasa ananing'ang'ania NIMUOE alafu na hayupo moyoni kabisa kwasababu kwenye mahusiano yetu hatukuwahi kutongozana au kuambiana kama tunapendana.

SASA TATIZO LIMEKUJA HAPA KUNISUMBUA KILA SIKU KUWA AKITAKA NIMUOE NA TAYARI KASHAWAAMBIA NDUGU ZAKE KUWA KAPATA MPENZI AMBAYE NI MIMI. ALAFU NA MIMI SINA MALENGO NAYE NA HATA NIKIMKUBALIA SIDHANI KAMA FAMILIA/NDUGU ZANGU WATANISUPPORT AU KUACCEPT KWA HILI.

Sasa niko njia panda wadau nichukue uamuzi upi, kwa sababu kashaanza kusema kuwa mimi eti mimi namnyanyapaa kwasababu ya ulemavu wake (Albinism) kumbe hata siko hivyo.

NAOMBENI WADAU ADVICE ZENU MAANA NAAMINI ZITANIJENGA NA KUNIPA MUONGOZO MZURI ZAIDI.

Nawasilisha:)
 
Swali langu hapa ni moja tu Je umempendaa???? kama umempenda muoe lakini kama hayumo moyoni sikushauri maana utamchoka mapema nakuja kumyanyasa Mtoto wa watu

Ndoa ni hiari na kila mtu aridhie kutoka moyoni
 
Mwambie huna mpango wa kuoa kwa sasa...pia mwambie kaka anadhani anahitaji kuolewa kwa sasa bac atafute mtu mwingine
 
Swali langu hapa ni moja tu Je umempendaa???? kama umempenda muoe lakini kama hayumo moyoni sikushauri maana utamchoka mapema nakuja kumyanyasa Mtoto wa watu

Ndoa ni hiari na kila mtu aridhie kutoka moyoni
thanks for your advice
 
Wa kumaliza hili ni wewe mwenyewe tena ki rahisi tu muite mueleze maana ya kuoa (kuridhia) kwa pande zote sasa wewe hauko tayari.
"Ni ukweli unaouma" lakini ni kwa mara moja tu baadae utamuweka huru, kuliko hii ya kuto eleweka unayomuonyesha.
Maamuzi yako kwako
 
Wa kumaliza hili ni wewe mwenyewe tena ki rahisi tu muite mueleze maana ya kuoa (kuridhia) kwa pande zote sasa wewe hauko tayari.
"Ni ukweli unaouma" lakini ni kwa mara moja tu baadae utamuweka huru, kuliko hii ya kuto eleweka unayomuonyesha.
Maamuzi yako kwako
daah! sijui sasa nitaanzia wapi maana kashaanza kuingiza na maneno yake ya unyanyapaa, nahisi nikimwambia ndo itazidi kuwa mbaya zaid..
naona ni bora nimpige saundi ambalo hata yeye mwenyewe alielewe na kuliafiki
 
Baada ya kupata na kufanikiwa kupata kazi kwenye mashirika ya uma nilipangiwa kazi mkoani na ndo mpaka sasa nafanyia kazi huku. Baada ya kuwasili kazini ilinibidi nikayafute nyumba ya kufanikiwa kupata maeneo ambayo hayakuwa mbali sana na sehemu kazi niliyokuwa nafanyia.
Sasa ikapita siku na miezi kadhaa nikawa tayari nmeshazoea kazi na kuzoea mtaa wangu niliokuwa naishi. Ila hapo kwenye hiyo nyumba niliyokuwa nmepanga wapangaji waliokuwa wengi walikuwa ni wa kike wakiume tukiwa ni wawili tuu, mimi pamoja na jobmate wangu.
siku zilivyozidi kwenda ghafla nkajikuta nkp kwenye mahusiano na mpangaji mwenzangu aliyekuwa akifanya kazi Uhamiaji. basi mapenzi yakaendelea kwa muda mrefu na yeye akawa ni zaidi ya mwenyeji wangu wangu kwa sababu yeye alkuwa ni mzaliwa wa huku. basi siku moja akamleta rafiki yake kupanga pale ili wawe karibu kwa sababu wanasema walikuwa ni marafiki wa muda mrefu.
Ila huyu rafiki yake alikuwa ni mlemavu wa ngozi(albinism) basi na yeye nikafahamiana naye sana kama shemeji yangu na tukawa tunatoka dinner,club au kwenda kuangalia mpira mara kwa mara tukiongozana na huyu shemeji yangu pamoja na GF wangu.
Sasa kwa bahati mbaya huyu GF wangu akahamishiwa kikazi mkoa wa mbali na niliokuwa naishi. kwa mfano ni sawa na ulikuwa unaishi Dar basi yeye akahamishiwa Kigoma.
Basi nikabaki na yule rafiki yake yeue akawa tayari yuko mbali na sisi ila akawa anakuja likizo fupi mara moja moja kwa sababu familia(wazazi) wanaishi huku. hivyo ikapelekea mahusiano kuanza kupungia day after day kutokana na distance iliyokuwepo baina yetu. ikafikia mpaka kipkndi akaniambia kuwa kashapata mshikaji mwingine ambaye pia ni mfanyakazi mwenzake.
Basi siku moja mida ya 7 za usiku nikiwa nimerudi home kutoka kwenye mishe zangu na nikiwa pia nmelewa, nkamkuta yule shemeji wangu akiwa ametoka kuoga hvyo nkamsalimia na kuingia ndani ila yeye akaanza kunitania akisema "aisee kumbe na ujanja wote ule wa kujifanya mpiga tungi sana kumbe unayumbana namna hyo?" basi mimi nkamjibu kilevi kuwa ni leo tuu ndo imekuwa hiv.. basi ghafla kichefu chefu kikamijia na kuanza kutapia, yani nilitapika sana na hyo yote nilijua ni kutoka na kuchanganya hizi bia za offer.
Basi huyu shemeji wangu akaja na kuanza kunipa treatment huku akinicjeka kuwa leo nmepatikana na jinsi nilivyotapika ndo kabisa... nikawa nmezidi kulewa mara 10 zaidi ya nilivyokuwa mwanzo, basi akanisaidia kuniingiza ndani na kwenda kwake na kuniletea krest na rojo ya ndizi alizokuwa amepika siku ile, basi nkala kimtindo mpaka nkajisikia kuanza kupata ahueni sasa. basi baada ya kumaliza hapo tukaanza kupiga storry za hapa na pale ila nyingi zikiwa ni kunitania jinsi nilivyolewa nmelewa siku hyo na kunicheka pia.
ILA ghafla nikajikuta usiku huo NABANJUKA naye kwa sababu alikuwa amevaa kanga moja iliyokuwa imelowa na maji sehemu kadhaa na kusababisha kuleta stimu na vile kuongea tukiwa karibu na kugusana gusana hovyo. basi usiku huo NIKAGONGA sana mpaka alifajiri alipoamka na kwenda kwake.
Basi kuanzia siku hiyo demu akakolea kwangu mpaka wapangaji wengine wakawa wameanza kuhisi na hiyo yote ni kuja kwa room yangu all the time.
Sasa tatizo likaja pale demu anataka eti ni muoe tusiishie kuchezeana tuu... Na ukiangalia mimi wala sikuwa na malengo naye mimi nilifanya kama replacement ya fafiki yake tuu kwa sababu sikuwa na mpenzi mwingne kwa kipindi hicho na mpaka sasa ananing'ang'ania NIMUOE alafu na hayupo moyoni kabisa kwa sababu kwenye mahusiano yetu hatukuwahi kutongozana au kuambiàna kama tunapendana.
SASA TATIZO LIMEKUJA HAPA KUNISUMBUA KILA SIKU KUWA AKITAKA NIMUOE NA TAYARI KASHAWAAMBIA NDUGU ZAKE KUWA KAPATA MPENZI AMBAYE NI MIMI. ALAFU NA MIMI SINA MALENGO NAYE NA HATA NIKIMKUBALIA SIDHANI KAMA FAMILIA/NDUGU ZANGU WATANISUPPORT AU KUACCEPT KWA HILI.
sasa niko njia panda wadau nichukue uamuzi upi, kwa sababu kashaanza kusema kuwa mimi eti mimi namnyanyapaa kwa sababu ya ulemavu wake(Albinism) kumbe hata siko hivyo.
NAOMBENI WADAU ADVICE ZENU MAANA NAAMINI ZITANIJENGA NA KUNIPA MUONGOZO MZURI ZAIDI.
nawasilisha:)
Ndugu na jamaa zako hawataku-support ukiwaambia unataka kumuoa kwa sababu zipi?naona kuna harufu ya kunyanyapaa kweli hapo kwa maelezo yako?pili wewe malengo yako yalikuwa kugonga tu au?kama ndivyo wewe huna hofu ya Mungu itakuwa.
 
Back
Top Bottom