Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa Neema ya uhai na afya.
Pili napenda kuchukua wasaa huu kuwashukuru wote wanaoifanya jamiiforum kutufanya tupate pa kusemea.
Tatu nawashukuru wadau wote wa jukwaa hili na jamiiforum kwa ujumla, kweli wadau mmekuwa na mawazo na michango inayotia moyo na kuburudisha kwa namna moja au nyingine.
Baada ya shukrani zangu hizo sasa niende moja kwa moja kwenye uhitaji wangu.
Natafuta ubavu wangu yaani MKE MWEMA. Mimi ni mwanaume mwenye miaka 35, mkristo, Nina shahada moja kutoka udsm, mtumishi wa serikalin, mkazi wa moro, ,mrefu kiasi na ni mcha Mungu.
Mwanamke ninayemtafuta awe serious na tayari kuingia kwenye ndoa. Awe pia mcha Mungu, mwenye nia ya dhati, mkweli, mwenye elimu angalau ya kidato cha nne, umri kati ya miaka 26-34, asiwe mfupi sana,kabila lolote, mkristo, mwenye shughuli yyte ya kumingizia kipato.
ALIYE TAYARI ANIPM.
Please ni kwa aliye serious tu, sihitaji mizaha wala utani.