Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani naomba kupata uzoefu toka kwa wazazi wenzangu ni umri gani ambao unaweza ukaacha kulala na mtoto wako kama mnaishi wawili yaani husband and wife, mwanangu ana miezi 30 sasa bado tunalala...
0 Reactions
60 Replies
15K Views
Habari wana JF, Hivi utafanyaje utakaposikia mke uliyeoa na ambaye umezaa naye mtoto kumbe alishawahi kuwa changudoa na alishabakwa.
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Radhia wangu wewe ni namba one, nakupenda sana si utani,.... Malizia.
1 Reactions
19 Replies
4K Views
You should have given him a chance! Brilliant prank video exposes 'gold-digging' woman who turns down a scruffy-looking admirer - only to discover she has made a BIG mistake Prankster Josh Paler...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salamu kwenu! Tukiwa katika mapumziko ya maulidi kwa upande wa Waislamu; na pia katika hatua ya kuifikia sikukuu ya chrismass hapo kesho. Kuna suala nahitaji kujua kwa upana zaidi juu ya matokeo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hello people, I have this lady friend of mine.She seriously needs someone to hook up with and get into a serious relationship of which marriage is the ultimate goal(Repeat it louder) She is aged...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Ningependa kukutana na wabongo kama mko pande hizi. Just kufahamiana na kula bata.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hali zenu wapendwa! Ni tumaini langu mu wazima wa afya. Baada ya kuona ushauri wenu hapa JF, nimeona vyema nikawashirikishe mambo yanayoniumiza kichwa: 1. Nilimpata mwanamke mmoja tukaamuwa kuwa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Hello watz mpooooooo! Nani kati ya simba na yanga leo? Back to my main thread. Humu kuna wataalamu wakuchambua na kudadavua mambo, hebu nambieni ni kwanini baadhi ya wanawake wanapendelea...
2 Reactions
54 Replies
25K Views
Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa uhai na afya. Lakini pia nachukua wasaa huu kuwashukuru wote wanaoifanya jamiiforum kutufanya tupate pa kusemea.Baada ya shukrani zangu hizo sasa niende moja...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Binadamu kukosea katika maisha ni jambo la kawaida sana. Binafsi naamini asiyekosea ni yule asiyefanya lolote. Japo hilo haliwezekani kwani usipofanya kwa vitendo basi utakosea kwa maneno tu...
12 Reactions
79 Replies
9K Views
Nimeipata hii wanajamvi mwasemaje: " BUSARA ZA BABA ... Msichana alinunua simu smartphone ambayo ni ghali mno. Baba yake alipoiona alimuuliza "Binti yangu uliponunua hiyo simu yako ya gharama...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Nimeomba samahani kwa wale watakaokwazika na kuumizwa na habari hii. Kuna jamaa rafiki yangu sana ana mchumba wake ni mchagga tabia zake zinaendana sana na binti mmoja ambaye ni rafiki yangu...
4 Reactions
337 Replies
56K Views
Toka tumwagane na kipenzi changu .napata wasichana wengine lakini nashangaa nakuwa sina mzuka nao !sometimes siku mbili zina pita siwatafuti wakishoboka nawa ambia simu mbovu. Lakini kwa kipenzi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau tangu wife ameanza kazi wametokea maharamia wengi wa mapenzi mtaani kwetu wenye kutumia gari kutaka kuchota mama watoto wangu Sasa nina ka milion tano nahitaji japo passo au vits ya mkononi...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Wanajamvi, Habari za jumanne.? Pamoja na umri wangu kuwa umesonga,lkn kiukweli sijawahi kuthibitishiwa popote kuhusu hili suala,pengine labda kutokana na mazingira niliyokulia. Naamini hapa...
0 Reactions
48 Replies
14K Views
Habari zenu MMU, Ni wiki sasa imepata tangu nilipoleta hapa jamvini thread ya kuomba ushauri Nimempa ujauzito mwanafunzi mwenzangu, naomba ushauri asanteni kwa ushauri wenu pia na kejeli pia...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Miezi 10 iliyopita niliamua kufanyiwa uzazi wa mpango kwa kutumia ile njia ijulikanayo kwa jina la VASECTOMY. Hii ni baada ya kuona mwenzangu 'hesabu' zimemshinda kabisa. Nikaona ili kuepuka...
7 Reactions
238 Replies
25K Views
Habari JF, Nashindwa kuelewa labda nina bahati mbaya,kila mwanamke ninayempata yupo kwa ajili ya kuomba pesa,hata kama nimempenda ghafla upendo unaisha. Mfano tumefahamiana leo kesho anatuma sms...
5 Reactions
79 Replies
8K Views
Inakuwaje unapokuta mkeo ana tatoo yenye jina la hawara yake wa zamani ambayo umeigundua baada ya kumwoa? Kazi kwenu kudadavua
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…