kichwa kikubwa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,273
- 1,702
Salamu kwenu!
Tukiwa katika mapumziko ya maulidi kwa upande wa Waislamu; na pia katika hatua ya kuifikia sikukuu ya chrismass hapo kesho.
Kuna suala nahitaji kujua kwa upana zaidi juu ya matokeo yake ktk ndoa kwa kuoana dini tofauti; Mf:baba ni mkristo na mama ni muislamu.
i/Je;kiwango cha athari kiimani kwa watoto ni zipi?
ii/Je;maisha ya kifamilia\ndoa umathubuti wake unakuwaje?
Nauliza suala hili kupata majibu yake hususani kutoka kwa wabobezi wa imani za kidini na pia wazoefu walioko kwenye ndoa hizo.Pia yeyote unakaribishwa kuchangia
FEEL FREE,KARIBU.