Kaka nasema hivi,
Kwenye ndoa, usipojihadhari na "Kusikia sikia", ndoa haikai mwezi. Ukitaka kusikiliza, nunua ma baunza wa uhakika utembee nao. Wengi walimtaka binti wa watu ila yeye akakuzimia weye, sasa waliopigwa chini wanaanza, Oh! twamjua, tulimpiga mipini kotekote, Oh! kikapanda kikashuka. Yoote hayo ni kukutia BP umtupe, msemo wa kwetu ni kuwa; Ukisusa wenzio twala. Kama weye huonyeshi matisho basi kila tusi utatukanwa tu.
Kaka, mkeo ni tunu, yatakiwa uitunze, uifiche, uilinde. Ka utaiacha kihasara, yapo majitu mimacho ni hapo getini kwako tu yakiomba utoke yajitahidi kumendea. Achana na kusikia. Miye nitaanza kufuga mbwa siku nikiisha ingiza chumbani, ya kale hayanihusu.
Kwanza sina tyme ya kwenda fundisha jitu zima miaka 30+ plus, unapoanza mechi linapiga keleleeee, Oteee, oteee lanyeee, dyudyu likubwa mno hiloooo, usimaliziee loteeee jamaniii mpaka umzibe mdomo na kung'atwa ung'atwe kisa kumziba kelele.
Nilifurahi sana, wangu, aliingia akaniulizanami nakumbuka; Hawa jamaa hawaondoki jamani? Nkamjibu kwani nini? Akasema, Nakuhitajiiii... Mbona hadi leo miaka 40+ sijamsikia kamrudia aliye mtoboa?? Nina uhakika huo.