Huu unaweza kuwa upendo wa dhati?

Huu unaweza kuwa upendo wa dhati?

KORBOTO

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,848
Reaction score
2,447
Ndg wanajamvi wasalaaam.
nimekuja kwenu labda naweza kupata mawazo ili mnitoe kwenye dilema niliyopo.
Nimekuwa kwenye mahusiano na mrembo wangu flan kwa zaidi ya miezi 18 ila baada ya hapo akakengeuka kdg akafikia hatua ya kutembea ya rafiki yangu mmoja ambaye wamefahamiana kupitia mimi.
Ilikuwa kama ananipush sana mambo ya kuoana na kufanya mambo ya maendeleo ambayo yalikuwa si rahisi kuyatimiza kwa jinsi alivyokuwa anataka (ndani ya muda mfupi).. mara tunune ploti halafu tujenge ,mara we mbn hufanyi biashara, mara oo ni muda wa kubadili gari sasa n.k,
Nahisi alikuwa analalamika kwa rafiki yangu mpaka wakafikia hatua ya kuwa wapenzi., baadaye nikajua na yeye hakunificha akahamia kabisa geto kwa mshikaji.., kwa kuwa mshikaj naye mambo yalikuwa si mazuri sana akawa anapiga tu na hakuna mabadiliko saaana au niseme hakuna tofauti saaana na kwangu, zaidi aligundua tu kuwa zile outing na birthday cakea ndo zilikuwa hazionekani kama alivyokuwa kazoea kwangu.
Sasa amerudi anasema kajuta na anasema yupo tayar tufanye mipango ya maisha pamoja, kwa kuwa nilikuwa nampenda na kumwonea wivu nikawa kama na hold lakini nikiendelea kupiga.
Nimejikuta nimesharudiana naye bila hata ya commitment zinazoeleweka.
kwa sasa naona tumerudia hali ya awali ya kulalamikiana. Mmoja anishauri kama inafaa kweli niendelee na huyu mpenzi wangu au nimtelejeze tu niwe na amani maishani
 
Yaani kaenda na mshikaji wako, halafu unasema huo waweza kuwa upendo wa dhati?
 
"....We jamaa una moyo mgumu sana kama alshababi soldiers"
 
Mkuu mnapendana lakini hata ikitokea mkaona, ndoa yenu itakuwa na misukosuko mingi sana.

Nakushauri uanze kuwekeza sehemu nyingine. Kwasasa moyo wako ni kama unatapatapa tu..
 
Jitambue kwanza Wewe ni nani,unahitaji nn,malengo yako,umuhimu wko ktk jamii inayokuzunguka/nafac yako/mchango wako,imani yako,.n.k ukitambua Hata moja kati ya haya basi kwa issue kama hii yako wala huitaji kuja jf mbiombio hivi,.

Think Like a Man
 
Ndg wanajamvi wasalaaam.
nimekuja kwenu labda naweza kupata mawazo ili mnitoe kwenye dilema niliyopo.
Nimekuwa kwenye mahusiano na mrembo wangu flan kwa zaidi ya miezi 18 ila baada ya hapo akakengeuka kdg akafikia hatua ya kutembea ya rafiki yangu mmoja ambaye wamefahamiana kupitia mimi.
Ilikuwa kama ananipush sana mambo ya kuoana na kufanya mambo ya maendeleo ambayo yalikuwa si rahisi kuyatimiza kwa jinsi alivyokuwa anataka (ndani ya muda mfupi).. mara tunune ploti halafu tujenge ,mara we mbn hufanyi biashara, mara oo ni muda wa kubadili gari sasa n.k,
Nahisi alikuwa analalamika kwa rafiki yangu mpaka wakafikia hatua ya kuwa wapenzi., baadaye nikajua na yeye hakunificha akahamia kabisa geto kwa mshikaji.., kwa kuwa mshikaj naye mambo yalikuwa si mazuri sana akawa anapiga tu na hakuna mabadiliko saaana au niseme hakuna tofauti saaana na kwangu, zaidi aligundua tu kuwa zile outing na birthday cakea ndo zilikuwa hazionekani kama alivyokuwa kazoea kwangu.
Sasa amerudi anasema kajuta na anasema yupo tayar tufanye mipango ya maisha pamoja, kwa kuwa nilikuwa nampenda na kumwonea wivu nikawa kama na hold lakini nikiendelea kupiga.
Nimejikuta nimesharudiana naye bila hata ya commitment zinazoeleweka.
kwa sasa naona tumerudia hali ya awali ya kulalamikiana. Mmoja anishauri kama inafaa kweli niendelee na huyu mpenzi wangu au nimtelejeze tu niwe na amani maishani
Daah wanaume bhana nanyi mna roho ngumu!mtu kakuacha na kudate na rafiki yko but still unarudiana naye kiroho safi na huku unaomba ushauri ili tukujuze km dem anakupenda au la [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Nakwambia huyo msichana hata ukioana nae lazima ujue utachapiwa tu na wenye hela zao maana anataka maisha ambayo wewe huyawezi kwa sasa.....
Na usipochagua njia sahihi utakuja humu unalia kama chizi
...hizi dharau rafiki ako kabisa alafu unasemaje?[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Ndg wanajamvi wasalaaam.
nimekuja kwenu labda naweza kupata mawazo ili mnitoe kwenye dilema niliyopo.
Nimekuwa kwenye mahusiano na mrembo wangu flan kwa zaidi ya miezi 18 ila baada ya hapo akakengeuka kdg akafikia hatua ya kutembea ya rafiki yangu mmoja ambaye wamefahamiana kupitia mimi.
Ilikuwa kama ananipush sana mambo ya kuoana na kufanya mambo ya maendeleo ambayo yalikuwa si rahisi kuyatimiza kwa jinsi alivyokuwa anataka (ndani ya muda mfupi).. mara tunune ploti halafu tujenge ,mara we mbn hufanyi biashara, mara oo ni muda wa kubadili gari sasa n.k,
Nahisi alikuwa analalamika kwa rafiki yangu mpaka wakafikia hatua ya kuwa wapenzi., baadaye nikajua na yeye hakunificha akahamia kabisa geto kwa mshikaji.., kwa kuwa mshikaj naye mambo yalikuwa si mazuri sana akawa anapiga tu na hakuna mabadiliko saaana au niseme hakuna tofauti saaana na kwangu, zaidi aligundua tu kuwa zile outing na birthday cakea ndo zilikuwa hazionekani kama alivyokuwa kazoea kwangu.
Sasa amerudi anasema kajuta na anasema yupo tayar tufanye mipango ya maisha pamoja, kwa kuwa nilikuwa nampenda na kumwonea wivu nikawa kama na hold lakini nikiendelea kupiga.
Nimejikuta nimesharudiana naye bila hata ya commitment zinazoeleweka.
kwa sasa naona tumerudia hali ya awali ya kulalamikiana. Mmoja anishauri kama inafaa kweli niendelee na huyu mpenzi wangu au nimtelejeze tu niwe na amani maishani
unaitaji maombi mkuu ..hiyo itakuwa ni limbwata inafanya kazii ..huyo shemej yetu ni wawap vilee tanga au ...yaani bila hata aibu umerudiana nae na unafungua thread tukushauri ..nakufananisha na mtu alokula wali maharage wa juzi ulo chacha afu anaomba ushauri kwa wenzake huku akisema eti naweza nikaumwa tumbo kwelii??..usiwe na fikra fupi kama safari ya ubungo to mwenge
 
Back
Top Bottom