Kwanini wanandoa wengi wanakuwa hawana maendeleo mazuri kiuchumi hata kama wanafanya kazi?

adriel

Member
Jul 31, 2015
51
32
Habarini wana MMU,

Naamini uko salama na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku.

Kwanini wanandoa wengi hawana maendeleo mazuri kiuchumi ingawa utakuta wote ni wafanyakazi! Kwanini inatokea hivi?

Naomba tujengane na kufundishana wakuu.

Nawasilisha.
 
Unataka wajitangaze maendeleo waliyoyapata au?

Ni majukumu tu mleta mada
Mshahara anaoupata;
Atoe nauli na gharama zngne anazotumia kama akienda job, walipe kodi, walishe familia, matumizi mengine, walipe ada, wasaidie tegemezi, watoe michango n.k.
 
kama vile sijaelewa vzr hapo? ina maana wenye maendeleo ni wasio kwenye ndoa???

kama ni hivyo kwetu ni tofauti kabisa.

Njoo bby u proof wrong hii thread.

Asprin
 
Huwezi kudefine au kutambua maendeleo na mafanikio ya mtu maana kila mtu ana malengo yake mkuu na kila ndoa ina target zao
 
kama vile sijaelewa vzr hapo? ina maana wenye maendeleo ni wasio kwenye ndoa???

kama ni hivyo kwetu ni tofauti kabisa.

Njoo bby u proof wrong hii thread.

Asprin
Sio ndoa zote, nimesema waliofanikiwa ni wachache, lakini wengi wao mafanikio yao ni kama mwendo wa kinyonga!!.
 
Nini kipimo cha maendeleo? natimaza mahitaji yangu ya kila siku so what more do i need?
 
Mkuu naomba definition ya maendeleo ili nione kama naweza kuchangia
 
Back
Top Bottom