Wanawake wanaongoza kwa uongo

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,185
18,513
Utafiti uliofanywa na shirika lisilo la kiserikali la NOTRUX unaonyesha kuwa asilimia 80 ya wanawake ni waongo na asilimia 45 ya wanaume ni waongo.

Wanawake wanaonekana kudanganya kutoka kwenye hisia zao hadi maneno yao.

Wanaume wameonyesha kuamini uongo kutoka kwa wanawake kwa asilimia 80 na wanawake wameonekana kuamini kwa asilimia 95 uwongo toka kwa wanaume.
 
Wanaume wameonyesha kuamini uwongo kutoka kwa wanawake kwa asilimia 80 na wanawake wameonekana kuamini kwa asilimia 95 uwongo toka kwa wanaume.

Utafiti huu ni sahihi kwa baadhi ya watu.Kwenye makabila kama wamasai na watu kutoka mikoa ya mara si rahisi mwanaume kudanganywa na mwanamke kwa sababu kule muda mwingi wanaume huongea na wanaume wenzao na wanawake huongea na wanawake wenzao.Lakini kwa maeneo kama mikoa ya Pwani ambapko mkeka hutandikwa chini halafu dume na jike wanakaa kwenye huo mkeka wakipiga stori hapo lazima kuna mtua ataongopewe na aongope.Stori zinakuwa nyingi hadi uwongo unaanza

Na kwa wazungu na waswahili koko wanaoendekeza mambo ya romance na kupenda kuwa karibu na wanawake muda mwingi kuongopewa pande zote ni lazima.
 
hata masai anadanganywa
 
Back
Top Bottom