Nini matumizi ya udi

exceptional lady

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
332
248
Jamani natumai nyoote mu wazima wa afya...
Naomba Kwa wanaofahamu matumizi na faida za uddi Kwa mwanamke,kwani Mr.kaenda Zanzibar akaniambia anataka aniletee udii.nikashindwa kumuhoji maswali mengi kwani hakua sehemu nzuri...naomba munisaidie wanaojua haya mambo
 
utanukia hatari yani kama malaika vile huwenda ikawa sababu ya kumuongezea mumeo ashki ya tendo la ndoa
 
Jamani natumai nyoote mu wazima wa afya...
Naomba Kwa wanaofahamu matumizi na faida za uddi Kwa mwanamke,kwani Mr.kaenda Zanzibar akaniambia anataka aniletee udii.nikashindwa kumuhoji maswali mengi kwani hakua sehemu nzuri...naomba munisaidie wanaojua haya mambo
Wanja waka ni hatariii! Hilo jicho limenata kama umekula kungu!
 
Mimi ni mwanaume lkn huwa naona kwa mke wangu toka kitambo kwa kweli udi unafanya mambo ya ajabu kabisa( postive exceptional effects)

Udi unaweza kufukiza ndani ya nyumba au chumbani pekee kwani si watu wengi watakao upenda kwa hiyo kama mnapenda na.mmeo fukiza chumbani tu.

Huondoa harufu za ajabu ajabu ndani ya nyumba.

Udi hufukizwa kunako papuchi yaani kunanukia balaa, kutia ulimi huko hujiulizi maswali.

Pia huweza kufukizwa hata nguo na mwili mzima pia kunukia vzr na kuondoa harufu( unpleasant smell ya ngozi au kwapa)

Jaribu hutaacha, toka niujue wife aspofanya makeke ndani ya wiki lazima nimuulize.
 
Back
Top Bottom