Maisha ni kujiamini

Maisha ni kujiamini

Pure Scientific

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
716
Reaction score
644
Salaaam wakuu,

-Maisha ni kujiamini na watu wengi waliojimini wamefanya vitu vikubwa sana duniani na vyenye manufaa na bila kuwa na kujiamini hata wewe mwenywe usingezaliwa

¤SIFA ZA KUJIAMINI
~Kunaleta uthubutu
~Mafanikio maishani mwako
~Hauta kuwa mtu woga
~Utaishi maisha unayotaka

¤Usipende kuishi maisha ya kutojiamini nakujiogopa pia haitaweza kukusaidia na utaishia kulialia tu.
 
Salaaam wakuuu.....

-Maisha ni kujiamini na watu wengi waliojimini wamefanya vitu vikubwa sana duniani na vyenye manufaa na bila kuwa na kujiamini hata wewe mwenywe usingezaliwa

¤SIFA ZA KUJIAMINI
~kunaleta uthubutu
~mafanikio maishani mwako
~hauta kuwa mtu woga
~utaishi maisha unayotaka

¤usipende kuishi maisha ya kutojiamini nakujiogopa pia haitaweza kukusaidia na utaishia kulialia tu.......
Umesomeka.
 
ebu nisaidie kama mtu una tatizo la kutijiamini na kuwa mwoga hata kama ni msomi mzuri na ni mweledi na kazi unapiga ,nishauri nifanyeje nitoke kwenye kifungo hiki
 
tumia pills za kupunguza woga nitafute kwa ushauri zaidi
 
ebu nisaidie kama mtu una tatizo la kutijiamini na kuwa mwoga hata kama ni msomi mzuri na ni mweledi na kazi unapiga ,nishauri nifanyeje nitoke kwenye kifungo hiki

Njia rahisi ya ku-develop ur SELF CONFIDENCE ni kuwaiga wale unaodhani wana CONFIDENCE the way wanavyotembea, wanavyoongea, wanavyo shake their hands and so and so, and eventually itakuwa ni tabia yako.
 
ebu nisaidie kama mtu una tatizo la kutijiamini na kuwa mwoga hata kama ni msomi mzuri na ni mweledi na kazi unapiga ,nishauri nifanyeje nitoke kwenye kifungo hiki
Kujiamini(confidence) kunqjengwa na vitu vingi sana ambavyo kato ya hivyo vinaweza kuwa;-
1. Malezi toka kwa waliokuwa wankuzunguka.
2. Iman, na hasa ile inayokuambia kuwa hakuna apaswaye kuabudiwa ila Mungu pekee(Allah)
3. Elimu. Elimu inapswa ikusaidie kuleimika, kujitambua na kukuongezea nguvu ya kujiamini.
4. Mila na destusri. kuna baaddhi za jamii zimejengwa kujiamini, (Mf. Watu wa Mkoa wa Mara)
5. Exposure. Kutembea na kufahamu ukweli wa mienendo ya maisha ya watu wa jamii zingine.
6. Inborn habbit. kuna watu wamezaliwa na tabia hiyo ya kujiamini, utawaona tangu wakiwa wadogo.
7. Asili ya kazi/shughuri tunazozifanya. Kuna baadhi ya shughuri au kazi tunazizifanya huwaondolea watu woga na kuwajenga kujiamini
8. Kuwa na Uchimu imara. Kuwa vizuri husaidia watu kujenga tabia ya kujiamni pia.
9. nk

Ni pm kwa msaada zaidi.
 
Salaaam wakuu,

-Maisha ni kujiamini na watu wengi waliojimini wamefanya vitu vikubwa sana duniani na vyenye manufaa na bila kuwa na kujiamini hata wewe mwenywe usingezaliwa

¤SIFA ZA KUJIAMINI
~Kunaleta uthubutu
~Mafanikio maishani mwako
~Hauta kuwa mtu woga
~Utaishi maisha unayotaka

¤Usipende kuishi maisha ya kutojiamini nakujiogopa pia haitaweza kukusaidia na utaishia kulialia tu.
Swali; Kujiamini katika misingi ipi? Je unaifahamu milango ya kuingilia chumba cha Kujiamini? Na Je unafahamu paa au kuta za kujiamini zinajegwa vipi?

Mwisho, Je umewahi kuingia kwenye chumba cha Kujiamini toka umezaliwa? Na kama umewahi, Je kina rangi gani kwenye kuta zake? Je kina tiles au sakafu ya vumbi?
 
Ni kweli kujiamini kunaleta uthubutu na katika uthubutu kuna leta mafanikio katika maisha...I like it..
 
Kujiamini inaweza kuwa kitu kigumu kukielezea ila ni vyepesi kukitambua unapojitazama, au unapomtazama mtu.

Hata hao tunaowaona wanajiamini, sio ktk maeneo yote ila aghalabu ktk maeneo mengi wanaonekana hivyo.

Kujiamini ni nn hasa?

Ni ile hali ya mtu toka ndani kuamua kubaki mtulivu ili kulikabili jambo fulani.
Hiiihaimaanishi haisi woga ndani yake isipokua anaamua kuikabiri ile hofu kwa kutazamia postive impact kwenye kile anachokitenda.

Hali hii ya kujiamini sio tukio ( is not an event)
Bali ni mchakato na comlex traits ambazo mtu anazipokea kuzaliwa na jinsi mazingira aliyoyapitia yalivyomjenga awe.

Sehemu kubwa kujiamini ni matokeo ya mazingira ya mtu aliyokulia.

Vitu vifuatavyo votakusaidia kujijengea kujiamini.

1: lazima ujikubali kuwa wewe ni wakipekee na vyote ulivyonavyo ndo vinavyokufanya uwe wa kipekee,coz hakuna mwingine km wewe dunia hiii.

2: Tambua daima kufanya kitu hata kama
hutafanikiwa kwa asilimia zote ni bora kuliko kutokufanya kitu.

Hii ni hatua muhimu sana ambayo wengi hawaitambui, unaponya jambo usiwaze kushindwa tu na matokeo yake hasi bali daima zingatia matokeo chanya kwa kiwango chochote.

3: ongeza ufahamu na daima tafuta kujifunza mambo.
Maarifa ni nguvu.
Taarifa ni silaha ya ushindi.
Kinyume na hapo ni tashwishi na uangamivu.

4: jipende na kujithamini.
Jifunze kufurahia umbo lako, sura yako, mawazo yako.
Ukijua siri hiii utakaa uuze utu wako kwa mtu baki.

5: jifunze kutabasamu.

Uso wa tabasamu utafsiri jinsi unavyojifurahia toka ndani.
Upo ushahidi wa kitafiti tabasamu upeleka taarifa positive kwa wanaokutazama.

Umewahi kujifunza kwa wasanii wachekeshaji?

Hata kama jambo analoliigiza hana weredi juu yake, adhira yake umpokea kwa tabasamu pia.
Hii ni siri ichukue itakusaidia.
 
Salaaam wakuu,

-Maisha ni kujiamini na watu wengi waliojimini wamefanya vitu vikubwa sana duniani na vyenye manufaa na bila kuwa na kujiamini hata wewe mwenywe usingezaliwa

¤SIFA ZA KUJIAMINI
~Kunaleta uthubutu
~Mafanikio maishani mwako
~Hauta kuwa mtu woga
~Utaishi maisha unayotaka

¤Usipende kuishi maisha ya kutojiamini nakujiogopa pia haitaweza kukusaidia na utaishia kulialia tu.
Very True... Thanks...
 
Kujiamini inaweza kuwa kitu kigumu kukielezea ila ni vyepesi kukitambua unapojitazama, au unapomtazama mtu.

Hata hao tunaowaona wanajiamini, sio ktk maeneo yote ila aghalabu ktk maeneo mengi wanaonekana hivyo.

Kujiamini ni nn hasa?

Ni ile hali ya mtu toka ndani kuamua kubaki mtulivu ili kulikabili jambo fulani.
Hiiihaimaanishi haisi woga ndani yake isipokua anaamua kuikabiri ile hofu kwa kutazamia postive impact kwenye kile anachokitenda.

Hali hii ya kujiamini sio tukio ( is not an event)
Bali ni mchakato na comlex traits ambazo mtu anazipokea kuzaliwa na jinsi mazingira aliyoyapitia yalivyomjenga awe.

Sehemu kubwa kujiamini ni matokeo ya mazingira ya mtu aliyokulia.

Vitu vifuatavyo votakusaidia kujijengea kujiamini.

1: lazima ujikubali kuwa wewe ni wakipekee na vyote ulivyonavyo ndo vinavyokufanya uwe wa kipekee,coz hakuna mwingine km wewe dunia hiii.

2: Tambua daima kufanya kitu hata kama
hutafanikiwa kwa asilimia zote ni bora kuliko kutokufanya kitu.

Hii ni hatua muhimu sana ambayo wengi hawaitambui, unaponya jambo usiwaze kushindwa tu na matokeo yake hasi bali daima zingatia matokeo chanya kwa kiwango chochote.

3: ongeza ufahamu na daima tafuta kujifunza mambo.
Maarifa ni nguvu.
Taarifa ni silaha ya ushindi.
Kinyume na hapo ni tashwishi na uangamivu.

4: jipende na kujithamini.
Jifunze kufurahia umbo lako, sura yako, mawazo yako.
Ukijua siri hiii utakaa uuze utu wako kwa mtu baki.

5: jifunze kutabasamu.

Uso wa tabasamu utafsiri jinsi unavyojifurahia toka ndani.
Upo ushahidi wa kitafiti tabasamu upeleka taarifa positive kwa wanaokutazama.

Umewahi kujifunza kwa wasanii wachekeshaji?

Hata kama jambo analoliigiza hana weredi juu yake, adhira yake umpokea kwa tabasamu pia.
Hii ni siri ichukue itakusaidia.
Ndugu, nina amini kwamba, ulichokiandika , kinatoka straight kwenye kichwa chako; sio kwenye Moyo wako. Hayo yote uliyoeleza ni hisia tu na sio uhalisia wa "Kujiamini".
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom