GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,212
Watu Wengi Sana Tunapenda Kuwa Na Watoto Huku Tukisema Kuwa Mtoto Ni Baraka Kutoka Kwa Mungu Bila Kuzingatia Mambo Mengine. Tunalalamika Kizazi Cha Leo Ambacho Kimejaa MATATIZO Na UTOVU WA NIDHAMU ULIOTUKUKA Lakini Hatujui Tatizo Lilianzia Wapi.
Hivyo Kwa Kuwapenda Members Leo Nataka Niwawekeeni Hapa VIASHIRIA Ambavyo Kama Ukiviona Tu Kwa Mwanao Kuanzia Akiwa Na Umri Wa Miaka Mitatu ( 3 ) Hadi Saba ( 7 ) Jua HUNA MTOTO, UMEZAA HASARA NA UMELILETEA TAIFA HASARA KUBWA SANA ISIYOVUMILIKA.
Akhsanteni.

- KUPENDA SANA KULALA.
- KUPENDA MNO KULA HOVYO HOVYO.
- ANAPENDA KUKAA KARIBU NA WATU WAKUBWA KUSIKILIZA WANAYOONGEA.
- KWENDA KUKOJOA au KUNYA NI LAZIMA AAMBIWE au AKUMBUSHWE.
- ANAPENDA KUOGESHWA SANA BILA KUOGA MWENYEWE.
- ANAPENDA KUCHUNGULIA WAKUBWA WAKIWA FARAGHA.
- ANAPENDA KULIALIA NA KUDEKA HATA PASIPO SABABU.
- AKIVAA NGUO INACHAFUKA HARAKA.
- SIYO MDADISI WA MASUALA NA YEYE KWAKE KILA KITU NI POA TU ILI SIKU IENDE.
- AKIPANDA KATIKA GARI ANAPENDA SANA KUTOA SHINGO NJE HOVYO KUCHUNGULIA.
- AKIMWONA TU MTU SALAMU YAKE YA KWANZA NI KUOMBA PESA AU HELA.
- ANACHAGUA VYAKULA VYA KULA.
- ANACHELEWA KULALA NA ANAENDA SAMBAMBA NA WAKUBWA KUCHELEWA KULALA.
- KILA SIKU ANAKULETEA TU MALALAMIKO JUU YA WATOTO WENZIE.
- HAPENDI UJIO WA WAGENI NYUMBANI KWAKO.
Akhsanteni.