Hivi kumbe wanaume nao wanafanyiwa sendoff?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,657
20,940
nilikuwa nacheki TBC siku moja nikaona jamaa anafanyiwa sendoff/kitchen party. yupo na mpambe wamevaa sare. zikaletwa kuni na shoka eti anademonstrate majukumu ya baba!! hivi ni kawaida hizi ishu au mimi ndiyo sielewi?
 
Interesting......

jana gazeti limeripoti mwanamke alie oa wanaume wawili kafariki...

karne ya 21 hii kila kitu kinawezekana naona
 
nilikuwa nacheki TBC siku moja nikaona jamaa anafanyiwa sendoff/kitchen party. yupo na mpambe wamevaa sare. zikaletwa kuni na shoka eti anademonstrate majukumu ya baba!! hivi ni kawaida hizi ishu au mimi ndiyo sielewi?
Sasa jamaa mmoja ndio anakufanya useme wanaume wanafanyiwa send off?

Btw huyo jamaa ni wa asili gani?
 
Send off, bag party ni vitu vya kawaida siku hizi iwe kwa mtoto wa kiume au mtòto wa kike.
Watu wanaendelea kuiga mambo kutoka ughaibuni mpaka yaishe. Sisi hatuboreshi vya kwetu!
 
nilikuwa nacheki TBC siku moja nikaona jamaa anafanyiwa sendoff/kitchen party. yupo na mpambe wamevaa sare. zikaletwa kuni na shoka eti anademonstrate majukumu ya baba!! hivi ni kawaida hizi ishu au mimi ndiyo sielewi?
Dear hii issue even my self I'm still with some question ,.... The first time I saw it nilishangaa but I guess ndio science na technology ya sasa.. Copy and paste ... Thanks...
 
nilikuwa nacheki TBC siku moja nikaona jamaa anafanyiwa sendoff/kitchen party. yupo na mpambe wamevaa sare. zikaletwa kuni na shoka eti anademonstrate majukumu ya baba!! hivi ni kawaida hizi ishu au mimi ndiyo sielewi?
"watakuwa wakenya hao.. ndo mwanzo wakupigwa na wake zao"
 
Nadhani ni nzuri coz tumeona ndoa nyingi mwanamke ndio hufunzwa jinsi ya kwenda kuishi na mume,
Lakin mwanaume anaachwa wkt yy ndio mkuu wa familia anapaswa aelezwe zaidi juu ya maisha ya ndoa,

Ila hiyo mpk wanawake walikuwepo wamekosea,
Hua ni wanaume watupu tena waliooa.
 
"....kama unataka kushangaa fuatilia mambo yanayofanywa na Watanzania wa Dar es salaam..."
 
Back
Top Bottom